Dejane JF-Expert Member Joined Jan 1, 2014 Posts 50,587 Reaction score 71,492 Dec 11, 2021 #41 Viongozi wajao wa ccm
M Maghayo JF-Expert Member Joined Oct 5, 2014 Posts 20,307 Reaction score 47,210 Dec 11, 2021 #42 Crimea said: Tatizo lako unafikri kila mtu anakaa kwa mzungu na kulea watoto kama ulivyo wewe Click to expand... Qengay
Crimea said: Tatizo lako unafikri kila mtu anakaa kwa mzungu na kulea watoto kama ulivyo wewe Click to expand... Qengay
T Tony Laurent JF-Expert Member Joined Jan 5, 2011 Posts 5,606 Reaction score 7,032 Dec 11, 2021 #43 JokaKuu said: ..Mbowe na Lissu ni Yanga. ..hivi Mzee Yusufu Makamba anaacha kuwa mwana Simba kwasababu tu amefaa sare za kijani za Ccm? Click to expand... Mimi nina allergy na rangi za njano na kijani- hasa za mavazi.
JokaKuu said: ..Mbowe na Lissu ni Yanga. ..hivi Mzee Yusufu Makamba anaacha kuwa mwana Simba kwasababu tu amefaa sare za kijani za Ccm? Click to expand... Mimi nina allergy na rangi za njano na kijani- hasa za mavazi.
T Tony Laurent JF-Expert Member Joined Jan 5, 2011 Posts 5,606 Reaction score 7,032 Dec 11, 2021 #44 JokaKuu said: ..mbona ccm wote huvalia kijani, ina maana wao ni Yanga? Click to expand... Rangi za kijani na njano nazifurahia tu ninapoziona kwenye mimea, matunda na vyakula. Nikiziona mahali pengine zinanichefua.
JokaKuu said: ..mbona ccm wote huvalia kijani, ina maana wao ni Yanga? Click to expand... Rangi za kijani na njano nazifurahia tu ninapoziona kwenye mimea, matunda na vyakula. Nikiziona mahali pengine zinanichefua.