Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
QengayTatizo lako unafikri kila mtu anakaa kwa mzungu na kulea watoto kama ulivyo wewe
Mimi nina allergy na rangi za njano na kijani- hasa za mavazi...Mbowe na Lissu ni Yanga.
..hivi Mzee Yusufu Makamba anaacha kuwa mwana Simba kwasababu tu amefaa sare za kijani za Ccm?
Rangi za kijani na njano nazifurahia tu ninapoziona kwenye mimea, matunda na vyakula. Nikiziona mahali pengine zinanichefua...mbona ccm wote huvalia kijani, ina maana wao ni Yanga?