Pre GE2025 BAVICHA yaanza kuogopwa na watawala, Polisi watumika kuwakamata ili kuzuia wasihudhurie siku ya vijana duniani itakayofanyika Mbeya

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Sasa ni dhahiri kwamba Uhai wa ccm uko mikononi mwa Jeshi la Polisi pekee, hii imedhihirika rasmi baada ya Jeshi hilo kuanza kuzuia Vijana wa Chadema kuhudhuria maadhimisho ya siku ya Vijana Duniani yanayofanyika Mbeya

Ifahamike kwamba maelfu ya vijana wa Kitanzania wanakusanyika Mbeya kwa ajili ya siku ya vijana ya kidunia.

Screenshot_2024-08-11-10-48-08-1.png
Screenshot_2024-08-11-10-54-48-1.png
Screenshot_2024-08-10-23-01-13-1.png

Pia soma=> Jeshi la Polisi lapiga marufuku mkutano wa BAVICHA siku ya vijana duniani
 
Kumekucha ! BAVICHA ni vijana wenye akili kubwa . Kuna kitu serikali ya ccm inakiogopa . Hii ni dalili mbaya kwa serikali ya ccm.

#Justice for Chaula a.k.a gari la Mungu.
 
Surat An-Nisa (4:58) - kutenda haki

  • "Hakika Mwenyezi Mungu anakuamrisheni mzirudishe amana kwa wenyewe, na mnapohukumu baina ya watu mhukumu kwa uadilifu. Hakika jinsi hii Mwenyezi Mungu anakuwaidhini. Hakika Mwenyezi Mungu ndiye Mwenye kusikia Mwenye kuona."
    • Surat Al-Ma'idah (5:8) - Aya hii inasisitiza kuwa haki inapaswa kutendeka bila kujali hali yoyote, hata kama mtu ana chuki dhidi ya mtu mwingine:
      • "Enyi mlio amini! Kuweni wenye kusimama na haki kwa ajili ya Mwenyezi Mungu kwa ushahidi wa uadilifu. Wala chuki ya watu isikufanyeni kutoitenda haki. Tendeni haki; hiyo ndiyo inayokurubisheni na uchaji Mungu. Na mcheni Mwenyezi Mungu; hakika Mwenyezi Mungu anazo khabari za mnayoyatenda."
      • Hii inaonyesha kuwa kutenda haki ni jukumu la kila mtu, na inasisitiza kuwa chuki binafsi haipaswi kuathiri uamuzi wa haki.
    • Surat Al-Hadid (57:25) - Aya hii inasisitiza umuhimu wa kusimamisha haki na uadilifu kama lengo kuu la kutumwa kwa Mitume na kutolewa kwa vitabu vya kisheria:
      • "Kwa yakini tulituma Mitume wetu kwa dalili wazi wazi, na tukateremsha Kitabu pamoja nao na Mizani, ili watu wasimamie uadilifu. Na tumeteremsha chuma chenye nguvu nyingi na faida kwa watu, na ili Mwenyezi Mungu amjue anaye msaidia Yeye na Mitume wake kwa siri. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye nguvu, Mwenye kushinda."
      • Hii inaonyesha kuwa kusimamisha haki ni moja ya sababu kuu za kutumwa kwa Mitume na kupewa sheria za Mwenyezi Mungu.
    • Surat An-Nahl (16:90) - Aya hii inaelezea wito wa Mwenyezi Mungu kwa watu wote kutenda haki na uadilifu:
      • "Hakika Mwenyezi Mungu anaamrisha uadilifu, na ihsani, na kuwapa jamaa; na anakataza mambo machafu na maovu na uasi. Anakuwaidhini ili mpate kukumbuka."
      • Hii inaeleza kuwa Mwenyezi Mungu anawaamuru watu kutenda haki na uadilifu, na pia inawataka kujiepusha na dhuluma na maovu.
 
FaizaFoxy na ChoiceVariable watapinga haq
 
    • Surat Al-Ma'idah (5:8)- Aya hii inasisitiza kuwa haki inapaswa kutendeka bila kujali hali yoyote, hata kama mtu ana chuki dhidi ya mtu mwingine:
      • "Enyi mlio amini! Kuweni wenye kusimama na haki kwa ajili ya Mwenyezi Mungu kwa ushahidi wa uadilifu. Wala chuki ya watu isikufanyeni kutoitenda haki. Tendeni haki; hiyo ndiyo inayokurubisheni na uchaji Mungu. Na mcheni Mwenyezi Mungu; hakika Mwenyezi Mungu anazo khabari za mnayoyatenda."
      • Hii inaonyesha kuwa kutenda haki ni jukumu la kila mtu, na inasisitiza kuwa chuki binafsi haipaswi kuathiri uamuzi wa haki.
    • Surat Al-Hadid (57:25)- Aya hii inasisitiza umuhimu wa kusimamisha haki na uadilifu kama lengo kuu la kutumwa kwa Mitume na kutolewa kwa vitabu vya kisheria:
      • "Kwa yakini tulituma Mitume wetu kwa dalili wazi wazi, na tukateremsha Kitabu pamoja nao na Mizani, ili watu wasimamie uadilifu. Na tumeteremsha chuma chenye nguvu nyingi na faida kwa watu, na ili Mwenyezi Mungu amjue anaye msaidia Yeye na Mitume wake kwa siri. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye nguvu, Mwenye kushinda."
      • Hii inaonyesha kuwa kusimamisha haki ni moja ya sababu kuu za kutumwa kwa Mitume na kupewa sheria za Mwenyezi Mungu.
    • Surat An-Nahl (16:90)- Aya hii inaelezea wito wa Mwenyezi Mungu kwa watu wote kutenda haki na uadilifu:
      • "Hakika Mwenyezi Mungu anaamrisha uadilifu, na ihsani, na kuwapa jamaa; na anakataza mambo machafu na maovu na uasi. Anakuwaidhini ili mpate kukumbuka."
      • Hii inaeleza kuwa Mwenyezi Mungu anawaamuru watu kutenda haki na uadilifu, na pia inawataka kujiepusha na dhuluma na maovu.
Takhbiiiiiiirrrr
 
CCM si wanajitapa wanapendwa mno sasa kuwazuia vijana wa CDM kuadhimisha siku yao nn kibaya!!
 
Chadema amueni , what next, hii ni true reflection ya hali itakavyokuwa katika uchaguzi ujao.
 
Sasa ni dhahiri kwamba Uhai wa ccm uko mikononi mwa Jeshi la Polisi pekee, hii imedhihirika rasmi baada ya Jeshi hilo kuanza kuzuia Vijana wa Chadema kuhudhuria maadhimisho ya siku ya Vijana Duniani yanayofanyika Mbeya

Ifahamike kwamba maelfu ya vijana wa Kitanzania wanakusanyika Mbeya kwa ajili ya siku ya vijana ya kidunia.

View attachment 3066709View attachment 3066710View attachment 3066712

Pia soma=> Jeshi la Polisi lapiga marufuku mkutano wa BAVICHA siku ya vijana duniani
Mbona ccm na police wenu mna mambo ya kipumbafu tambueni nchi sio yenu hii
 
Sasa ni dhahiri kwamba Uhai wa ccm uko mikononi mwa Jeshi la Polisi pekee, hii imedhihirika rasmi baada ya Jeshi hilo kuanza kuzuia Vijana wa Chadema kuhudhuria maadhimisho ya siku ya Vijana Duniani yanayofanyika Mbeya

Ifahamike kwamba maelfu ya vijana wa Kitanzania wanakusanyika Mbeya kwa ajili ya siku ya vijana ya kidunia.

View attachment 3066709View attachment 3066710View attachment 3066712

Pia soma=> Jeshi la Polisi lapiga marufuku mkutano wa BAVICHA siku ya vijana duniani
Upuuzi mtupu
 
Back
Top Bottom