Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
FaizaFoxy na ChoiceVariable watapinga haqSurat An-Nisa (4:58) - kutenda haki
- "Hakika Mwenyezi Mungu anakuamrisheni mzirudishe amana kwa wenyewe, na mnapohukumu baina ya watu mhukumu kwa uadilifu. Hakika jinsi hii Mwenyezi Mungu anakuwaidhini. Hakika Mwenyezi Mungu ndiye Mwenye kusikia Mwenye kuona."
- Surat Al-Ma'idah (5:8) - Aya hii inasisitiza kuwa haki inapaswa kutendeka bila kujali hali yoyote, hata kama mtu ana chuki dhidi ya mtu mwingine:
- "Enyi mlio amini! Kuweni wenye kusimama na haki kwa ajili ya Mwenyezi Mungu kwa ushahidi wa uadilifu. Wala chuki ya watu isikufanyeni kutoitenda haki. Tendeni haki; hiyo ndiyo inayokurubisheni na uchaji Mungu. Na mcheni Mwenyezi Mungu; hakika Mwenyezi Mungu anazo khabari za mnayoyatenda."
- Hii inaonyesha kuwa kutenda haki ni jukumu la kila mtu, na inasisitiza kuwa chuki binafsi haipaswi kuathiri uamuzi wa haki.
- Surat Al-Hadid (57:25) - Aya hii inasisitiza umuhimu wa kusimamisha haki na uadilifu kama lengo kuu la kutumwa kwa Mitume na kutolewa kwa vitabu vya kisheria:
- "Kwa yakini tulituma Mitume wetu kwa dalili wazi wazi, na tukateremsha Kitabu pamoja nao na Mizani, ili watu wasimamie uadilifu. Na tumeteremsha chuma chenye nguvu nyingi na faida kwa watu, na ili Mwenyezi Mungu amjue anaye msaidia Yeye na Mitume wake kwa siri. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye nguvu, Mwenye kushinda."
- Hii inaonyesha kuwa kusimamisha haki ni moja ya sababu kuu za kutumwa kwa Mitume na kupewa sheria za Mwenyezi Mungu.
- Surat An-Nahl (16:90) - Aya hii inaelezea wito wa Mwenyezi Mungu kwa watu wote kutenda haki na uadilifu:
- "Hakika Mwenyezi Mungu anaamrisha uadilifu, na ihsani, na kuwapa jamaa; na anakataza mambo machafu na maovu na uasi. Anakuwaidhini ili mpate kukumbuka."
- Hii inaeleza kuwa Mwenyezi Mungu anawaamuru watu kutenda haki na uadilifu, na pia inawataka kujiepusha na dhuluma na maovu.

Mama kishashindwa kizembe sana!Kwa hiyo zile 4R alizokuwa ametuwekea Mezani kazirudisha kwenye Hijabu?!😮
TakhbiiiiiiirrrrSurat An-Nisa (4:58) - kutenda haki
- "Hakika Mwenyezi Mungu anakuamrisheni mzirudishe amana kwa wenyewe, na mnapohukumu baina ya watu mhukumu kwa uadilifu. Hakika jinsi hii Mwenyezi Mungu anakuwaidhini. Hakika Mwenyezi Mungu ndiye Mwenye kusikia Mwenye kuona."
- Surat Al-Ma'idah (5:8)- Aya hii inasisitiza kuwa haki inapaswa kutendeka bila kujali hali yoyote, hata kama mtu ana chuki dhidi ya mtu mwingine:
- "Enyi mlio amini! Kuweni wenye kusimama na haki kwa ajili ya Mwenyezi Mungu kwa ushahidi wa uadilifu. Wala chuki ya watu isikufanyeni kutoitenda haki. Tendeni haki; hiyo ndiyo inayokurubisheni na uchaji Mungu. Na mcheni Mwenyezi Mungu; hakika Mwenyezi Mungu anazo khabari za mnayoyatenda."
- Hii inaonyesha kuwa kutenda haki ni jukumu la kila mtu, na inasisitiza kuwa chuki binafsi haipaswi kuathiri uamuzi wa haki.
- Surat Al-Hadid (57:25)- Aya hii inasisitiza umuhimu wa kusimamisha haki na uadilifu kama lengo kuu la kutumwa kwa Mitume na kutolewa kwa vitabu vya kisheria:
- "Kwa yakini tulituma Mitume wetu kwa dalili wazi wazi, na tukateremsha Kitabu pamoja nao na Mizani, ili watu wasimamie uadilifu. Na tumeteremsha chuma chenye nguvu nyingi na faida kwa watu, na ili Mwenyezi Mungu amjue anaye msaidia Yeye na Mitume wake kwa siri. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye nguvu, Mwenye kushinda."
- Hii inaonyesha kuwa kusimamisha haki ni moja ya sababu kuu za kutumwa kwa Mitume na kupewa sheria za Mwenyezi Mungu.
- Surat An-Nahl (16:90)- Aya hii inaelezea wito wa Mwenyezi Mungu kwa watu wote kutenda haki na uadilifu:
- "Hakika Mwenyezi Mungu anaamrisha uadilifu, na ihsani, na kuwapa jamaa; na anakataza mambo machafu na maovu na uasi. Anakuwaidhini ili mpate kukumbuka."
- Hii inaeleza kuwa Mwenyezi Mungu anawaamuru watu kutenda haki na uadilifu, na pia inawataka kujiepusha na dhuluma na maovu.
Anatumia fedha zetu za Kodi vibaya kwa kuhonga.Mama kishashindwa kizembe sana!
Huyu aweza kuwa Rais wa kwanza wa Tanzania kukamatwa na kushitakiwaAnatumia fedha zetu za Kodi vibaya kwa kuhonga.
Chadema ipi hiyo ya kuamua? 😂Chadema amueni , what next, hii ni true reflection ya hali itakavyokuwa katika uchaguzi ujao.
Mbona ccm na police wenu mna mambo ya kipumbafu tambueni nchi sio yenu hiiSasa ni dhahiri kwamba Uhai wa ccm uko mikononi mwa Jeshi la Polisi pekee, hii imedhihirika rasmi baada ya Jeshi hilo kuanza kuzuia Vijana wa Chadema kuhudhuria maadhimisho ya siku ya Vijana Duniani yanayofanyika Mbeya
Ifahamike kwamba maelfu ya vijana wa Kitanzania wanakusanyika Mbeya kwa ajili ya siku ya vijana ya kidunia.
View attachment 3066709View attachment 3066710View attachment 3066712
Pia soma=> Jeshi la Polisi lapiga marufuku mkutano wa BAVICHA siku ya vijana duniani
Ulitaka wasafirie mat..ko yakoChadema mnasafiria Hiece hadi Leo ? 😂😂😂
Kumekucha ! BAVICHA ni vijana wenye akili kubwa . Kuna kitu serikali ya ccm inakiogopa . Hii ni dalili mbaya kwa serikali ya ccm.
#Justice for Chaula a.k.a gari la Mungu.
Upuuzi mtupuSasa ni dhahiri kwamba Uhai wa ccm uko mikononi mwa Jeshi la Polisi pekee, hii imedhihirika rasmi baada ya Jeshi hilo kuanza kuzuia Vijana wa Chadema kuhudhuria maadhimisho ya siku ya Vijana Duniani yanayofanyika Mbeya