PostGE2025 BAVICHA: Yalitokea Oktoba 29, Serikali ya CCM wameharibu msingi wasitafute wa kumuangushia Jumba bovu"

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Baraza la Vijana wa CHADEMA Taifa kupitia kwa Katibu Muenezi wa BAVICHA Taifa, Felius Festo kinimi watoa tamko juu ya yaliyotokea yaliyotokea Oktoba 29, 2025, "wameharibu msingi wasitafute wa kumuangushia Jumba bovu"

Your browser is not able to display this video.
 
Baraza la Vijana wa CHADEMA Taifa kupitia kwa Katibu Muenezi wa BAVICHA Taifa, Felius Festo kinimi watoa tamko juu ya yaliyotokea yaliyotokea Oktoba 29, 2025, "wameharibu msingi wasitafute wa kumuangushia Jumba bovu"

CCM na Samia mnyonya damu za watu ni sikio la kufa, hilo limama inaonekana linafurahia sana kuua watu.
 
Mama namuonea huruma sana sio uwamuzi wake sema uwamuzi wa watu wengine kabisa....Nampa pole sana kwa kutokufata roho yake nini inataka....Anabebeshwa mzigo na anakubali....

Kuna utofauti gani na mtu anabebeshwa madawa na anakubali wakati anajuwa ni makosaa na nikikamatwaa itakuwa imekula kwake ndio hapo mama amefanya sasa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…