BAWACHA epukeni makosa ya kiufundi kwenye matamko yenu tafadhali

BAWACHA epukeni makosa ya kiufundi kwenye matamko yenu tafadhali

Rabbon

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2022
Posts
25,937
Reaction score
41,161
Salaam!

Nimemsikia kiongozi wa BAWACHA akiunga mkono kauli ya makamo mkt Taifa John Heche kuhusu kutoitambua Serikali na uchaguzi batili uliofanyika.

Sasa kosa la kiufundi linakuja pale msemaji huyo anapoitaka Serikali iwachukulie hatua wote waliohusika na mauaji ya October 29.

Serikali huja kutokana na uchaguzi, sasa Serikali usoitambua, badala ya kudai Serikali ya mpito uchaguzi wa haki ufanyike ndipo waje viongozi wa kuwajibisha wauwaji wa October 29, ninyi mnarudi kuitaka Serikali msoitambua kuchukua hatua!

Wananchi Wana akili nowadays, think twice.

Nawasilisha 🙏
 
Msije jaribu kuingia meza ya maridhiano na killer's.
 
Back
Top Bottom