Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 11,640
- 24,066
- Thread starter
- #61
Dawa Juma dawa,Maandamano ya leo lengo ni kufikisha ujumbe kwa Wananchi wa Tanzania kuwa fedha zenu zinaliwa.
Kila Mtanzania anatakiwa kujuwa kuwa kodi zake zinatumika kuwalipa akina Mdee na wenzake ambao hawastahili na badala yake zitumike katika shughuli nyingine za kimaendeleo.
Sasa wewe hutaki wafanikiwe nini?
Hizo fedha wanazolipwa kina Mdee ni bora hata zingepelekwa ustawi wa Jamii kuwasaidia watu wanaoteseka na maisha magumu.
#Free Dawa Juma.
Na msemo wa kunguru.....mwoga na ule usemi wa Mwana kulitafuta Mwana kulipata..................