Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 11,640
- 24,066
- Thread starter
-
- #61
Dawa Juma dawa,Maandamano ya leo lengo ni kufikisha ujumbe kwa Wananchi wa Tanzania kuwa fedha zenu zinaliwa.
Kila Mtanzania anatakiwa kujuwa kuwa kodi zake zinatumika kuwalipa akina Mdee na wenzake ambao hawastahili na badala yake zitumike katika shughuli nyingine za kimaendeleo.
Sasa wewe hutaki wafanikiwe nini?
Hizo fedha wanazolipwa kina Mdee ni bora hata zingepelekwa ustawi wa Jamii kuwasaidia watu wanaoteseka na maisha magumu.
#Free Dawa Juma.
Hivi vijimsemo msemo vya kijinga kijinga ndio vimemfanya Mwafrika kuchukuliwa Utumwa na wenzake.Na msemo wa kunguru.....mwoga na ule usemi wa Mwana kulitafuta Mwana kulipata...........
Sawa mkuu tunangojea mrejeshoKila la kheri zao...
Labda kama Watanzania wote wangekua ni jamii ya wakurya.... sorry to say thatHivi vijimsemo msemo vya kijinga kijinga ndio vimemfanya Mwafrika kuchukuliwa Utumwa na wenzake.
Kwa mfano "hewala si Utumwa" wakati hewala ni Utumwa.
AiseeHamna kitu. Maigizo tu haya. Walikuwa wapi kipindi kile cha vuguvugu la kuhoji maamuzi ya spika kuwabakiza hawa viumbe bungeni?
Leo wanasubiri miezi sijui mwaka umepita ndio waandamane, mbowe anatumia zile pesa za kwenye bahasha kuwahadaa watz.
Mbowe atolewe kwenye nafasi ya wenyekiti apewe Heche. Hicho chama kitasimama.
HahahaLabda kama Watanzania wote wangekua ni jamii ya wakurya.... sorry to say that
Huyu dawa Juma dawa ni kufanya fundraising atoke then aache ujinga atafute hata project ya kilimo afanye......Hahaha
#Free Dawa Juma.
Freedom of speech sio ujinga.aache ujinga
Sijapata update hope mbowe kawakataza.....no any updates until now...Vipi hao makamanda uchwara wameshaandamana?
Aisee,Kati ya kitu ambacho Halima Mdee alikosea nikutompa Huo mchongo Joyce Mukya yule wa Arusha.
Yote haya yasingetokea
Kuna mambo mengi ya msingi ya kuyapambania wenyewe wanakomaa na COVID-19Badala kuandamana kupinga hali ya maisha kuwa ngumu gharama za bidhaa kupanda umeme mgao n.k wanaandamana kwa mambo ya kipuuzi.Hiki chama kinazidi kuwa cha hovyo
Sawa kabisa!Baraza la wanawake CHADEMA (BAWACHA) wametangaza kuandamana leo Dar es Salaam kuishinikiza serikali kuwaondoa bungeni wabunge 19 wa viti maalum wa CHADEMA maarufu kama COVID 19.
Ni nini maoni yako.
Karibuni.
Hunipati huko😁Yule Mwita Waitara mlie mhonga Lori la Pombe kutoka Breweries akahamia CCM.