Hicho sio chama cha siasa, ni rasmi sasa kimekuwa ni kikundi cha Mungiki.Wakuu,
Mbona kama kuna ka upepo kanatengenezwa hivi!π€¨π§π€
Kamanda Lilian Byebalilo (BAWACHA) ameshambuliwa kwa kupigwa na watu wa Taskforce iliyopo chini ya Waziri Mweneviale (Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Ilala), shambulio hilo limepelekea Lilian kupoteza fahamu na kukimbizwa hospital kwa ajili ya matibabu kwa muda wa takribani masaa tano katika Hospitali ya JEMSA iliyopo Segerea.
Pia, Soma: Ghasia Ndani ya CHADEMA: Mwenezi wa BAWACHA Taifa ashambuliwa na Walinzi wa Heche
Na kisha kupewa rufaa ya kupelekwa Hospitali ya Amana iliyopo Ilala kwa ajili ya hatua zaidi za matibabu na uchunguzi wa afya yake hii ni mara ya pili kwa tukio la namna hii kutokea baada ya tukio lile la kwanza la kushambuliwa kwa mwenezi wa BAWACHA Taifa Siglada Mligo.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Yale ya kule Ikungi yanaanza kujirudia, watu walikula mpunga wa efm na bado mikutano ya lissu ilidamshi.Moto wa No Reform No Election unachoma kila kona mpaka wanapoteana hata kutengeneza propaganda zilizokwenda shule wameshindwa.
Mshambuliane huko mje kusingizia CCM? Nyie nyumbu ni mazuzu wa kudumuCCM na mapandikizi yao yanatia huruma na propaganda zao mfu.
Ila uzuri Mungu ndo anatuonesha namna akili zao zilivyoishia.
Lione hili zuzu, halina ht aibu?CCM na mapandikizi yao yanatia huruma na propaganda zao mfu.
Ila uzuri Mungu ndo anatuonesha namna akili zao zilivyoishia.
Chadema bhana πHizi ni mbinu chafu za chama Cha wahuni CCM
Mnazi haupandwi uwani!Wakuu,