Pre GE2025 BAWACHA Pwani kutoa Tsh. Milioni 1.5 kumchangia fomu ya uenyekiti Mbowe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Cute Wife

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
1,906
Reaction score
5,000
Mambo yanazidi kunoga huko jamani.

BAWACHA Pwani wamesema watatoa Tsh. Milionin1.5 kumchangia Mbowe achukue fomu ya kugombea uenyekiti CHADEMA sababu wanaamini kwenye uwezo wake.

Pia soma: Kuelekea 2025 - Freeman Mbowe: Nitatoa uamuzi wa kugombea Uenyekiti siku ya Jumamosi saa 5 asubuhi

Mbowe hii ndio surprise umeita mpaka press

Umeanza kutumia vizuri mbinu za CCM daaah, noma sana, tutaona mengi

Your browser is not able to display this video.
PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - Wanachama, Viongozi CHADEMA wagawanyika kambi tofauti, hofu ya mpasuko yaongezeka
 
Wengine hapo wametoka kwenye nyumba za nyasi uzaramoni ndani na wametembea kwa miguu kwenda kumpa milioni 1.5 tajiri a anayeishi kwenye gorofa la kitajirinamna hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…