BAWACHA: Watanzania wasikubali serikali tatu

BAWACHA: Watanzania wasikubali serikali tatu

DOMA

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2011
Posts
944
Reaction score
366
Baraza la wanawake chadema(bawacha) limewataka watanzania kukataa serikali tatu kwani ni gharama kubwa kuiendesha, wakikaliliwa mbunge mariam msabaha na mbunge wa morogoro viti maalum wametaka watanzania kukataa rasimu hiyo,
maoni hayo yamekwenda kinyume na mwenyekiti wao freeman mbowe ambapo amesema chadema inaunga mkono rasimu hiyo pale alipokuwa anahutubia wakazi wa iyela-mbeya
mytake
kwanini wametofatiana wakati ilani ya chadema iko wazi
source ITV-Habari
 
Katiba ni ya watanzania,kila mtu ana uhuru wa kutoa maoni yake!kwa mh.sitta na sumaye walivyokataa na mwenyekiti kikwete nae kakataa?
 
Waseme wanataka serikali ngapi na kwa sababu zipi? Hili suala la mzigo kwa mwananchi halijafanyiwa utafiti. Waje na hoja nzito na siyo kutoa tamko. Nimewasikiliza ITV lakini sikubaliani nao. Waseme kama wanataka muungano ni wa aina gani na kama hawataki muungano ni kwa nini?

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Bawacha sikuzote wope kimya katika mambo mengi leo sijui wameona nin na kutoka hewani!
 
Waitwe haraka sana waadhibiwe hawa! Siku zote wako kimya leo kunani?
 
Na hao ndio watanzania tunaowataka...wanatoa maoni yao...kulingana na wanavyoona inafaa!
 
Baraza la wanawake chadema(bawacha) limewataka watanzania kukataa serikali tatu kwani ni gharama kubwa kuiendesha, wakikaliliwa mbunge mariam msabaha na mbunge wa morogoro viti maalum wametaka watanzania kukataa rasimu hiyo,
maoni hayo yamekwenda kinyume na mwenyekiti wao freeman mbowe ambapo amesema chadema inaunga mkono rasimu hiyo pale alipokuwa anahutubia wakazi wa iyela-mbeya
mytake
kwanini wametofatiana wakati ilani ya chadema iko wazi
source ITV-Habari

Mbowe alikurupuka alipaswa kusubiri misimamao wa Kanisa Katoliki kuhusu muundo wa muungano. sasa askofu Kilaini kasema NO serikali tatu, sasa kila atakayesimama Chadema atasema NO serikali tatu, hawawezi kwenda kinyume na msimamo wa Kanisa Katoliki, na Kanisa linahofia kufa kwa mfumo kiristo endapo mfumo wa serikali tatu utabarikiwa. Ajabu katika mapendekezo ya Chadema (rasmi) walitaka serikali tatu, leo jaji Warioba kawasikiliza wanasema NOOOOOOOOOOO ama kweli Chadema cha cha vinyonga.
 
j apo i alwayz vote for chadema, lkn tnataka serikali yetu wabara.
nadhan wangeelewa tu kuwa serikali ya tanganyika ipo japo c rasmi.
- ivi magufuli ni waziri wa muungano, zbar au tanganyika.
si waziri wa zbar kwan hatjawai msikia akihoji na kuyaelezea mabarabara ya zbar.
si wa muungano kwan mabarabara c moja kt masuala ya muungano.
bali ni wa serikali ya tanzania bara ambayo wahuni hawaiaji bayana
ivo kwa mpango uu tnaitaja kuwa rasmi
chukua iyo bawacha
 
BAWACHA nyie ni masalia mnapingana na Mbowe.
 
Waseme wanataka serikali ngapi na kwa sababu zipi? Hili suala la mzigo kwa mwananchi halijafanyiwa utafiti. Waje na hoja nzito na siyo kutoa tamko. Nimewasikiliza ITV lakini sikubaliani nao. Waseme kama wanataka muungano ni wa aina gani na kama hawataki muungano ni kwa nini?

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums

ndo mana tunasema chadema ni tawi la ccm ispokua wanawahadaa watanzania kujiita wapinzani kwa kutumia fujo. Kama hawataki serikali 3 mana yke wanataka 2 sawa na sera ya ccm. Chadema=ccmb
 
hayo ni mawazo yao, tujifunze kuheshimu mawazo ya watu wengine
 
Waseme wanataka serikali ngapi na kwa sababu zipi? Hili suala la mzigo kwa mwananchi halijafanyiwa utafiti. Waje na hoja nzito na siyo kutoa tamko. Nimewasikiliza ITV lakini sikubaliani nao. Waseme kama wanataka muungano ni wa aina gani na kama hawataki muungano ni kwa nini?

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums

Wale kina mama ukiwaona tu unawahurumia maana nina hakika hawajasoma hata page moja ya rasimu ya katiba halafu wakula ugali wanakuja na hoja nyepesi ya gharama.wanajua gharama za uendeshaji wa serikali??? watuambie kwanza hiyo misamaha ya kodi ya 3trilion inayotolewa na serikali kila mwaka ikidhibitiwa hawaoni kuwa gharama wanazosema ni peanut.Serkali inayokuja tuna uhakika itakusanya kodi na kufuta misamaha isiyo na tija wanayopewa kina homeshoping centre na wengine.tuna uhakika itapa hiyo 1trillion ya uendeshaji
Watanzania tusiwe wavivu wa kufikiri.DR.SLAA na cc mulikeni huko BAWACHA kuna masalia wanaokula za lumumba
 
Nikusaidie kitu kimoja, neno CHADEMA linamaanisha Chama Cha Demokrasia Na Maendeleo..,

~hvyo bac ndani ya chama kila kiongozi, kila mwanachama, kila kundi ndan ya chama, wote hawa wanao uhuru wa kutoa mawazo yao tena bila kuingiliwa mtu na hii ndiomaan ya DEMOKRASIA na sio hicho chama cha zidumu fikra za mwenyekit, lkn mwisho wa siku kamati kuu itakutana na kutoka na wazo moja lenyemanufaa kwa uma,..!
 
Back
Top Bottom