Baraza la wanawake chadema(bawacha) limewataka watanzania kukataa serikali tatu kwani ni gharama kubwa kuiendesha, wakikaliliwa mbunge mariam msabaha na mbunge wa morogoro viti maalum wametaka watanzania kukataa rasimu hiyo,
maoni hayo yamekwenda kinyume na mwenyekiti wao freeman mbowe ambapo amesema chadema inaunga mkono rasimu hiyo pale alipokuwa anahutubia wakazi wa iyela-mbeya
mytake
kwanini wametofatiana wakati ilani ya chadema iko wazi
source ITV-Habari
Waseme wanataka serikali ngapi na kwa sababu zipi? Hili suala la mzigo kwa mwananchi halijafanyiwa utafiti. Waje na hoja nzito na siyo kutoa tamko. Nimewasikiliza ITV lakini sikubaliani nao. Waseme kama wanataka muungano ni wa aina gani na kama hawataki muungano ni kwa nini?
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums