BAWACHA yaandaa Kongamano la Join The Chain Temeke

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Labda kwa ufafanuzi kidogo , hasa kwa wageni na wale ambao wanachelewa kuelewa ni Kwamba huu mpango wa kisasa wa Join The Chain ni Mkakati maalum wa Chadema wa kuhakikisha kila Mtanzania mwenye Pumzi anachangia mapambano ya Haki na usawa kwa ajili ya vizazi vinavyokuja.

Hii ndio Taarifa yao waliyoisambaza kwa vyombo vya habari.

Tukutane_kiumeni_Temeke_%0A%0A%23JoinTheChain.jpg
 
Hivi chawa kwa kichina wanaitwaje vile?

View attachment 2167645
Inasikitisha sana uzi wako ulionitaja mimi kama Chawa ulifutwa , niliwaomba sana wakubwa waurejeshe lakini sikufanikiwa ( nilikuwa na maana Muhimu sana )

Bali ninachotaka kukukumbusha ni kwamba Hakuna chawa Tajiri , hilo ndilo ulilosahau , na lingine ni kwamba hakuna Chawa wa Mfungwa .

Kingine ni hiki mimi sijawahi kuogopa kashfa , matusi au makwazo yoyote kutoka kwa wanaccm , ni mzaliwa na bado ni mkazi wa KYELA , kijiji cha KAJUNJUMELE , ni njiani kabisa kuelekea ITUNGI PORT , ili upate kunijua vizuri Muulize Harrison Mwakyembe , nadhani huyu ndio mwanaccm anayenifahamu kuliko yeyote , mimi nmechangia kwa 75% kumstaafisha Ubunge
 
Hizi huitwa za uso
 
Na baada ya hapo nani ana maisha mazuri kati yenu?

Pia ubunge wa mwakyembe lazima ungekuwa na ukomo maana hata Magufuli alitaka wazee wapumzike ili kupisha vijana waingize nguvu mpya kwenye siasa.

Bahati mbaya team ya roho mbaya ikafanikiwa vitu vyake.
 
Labda kwa ufafanuzi kidogo , hasa kwa wageni na wale ambao wanachelewa kuelewa ni Kwamba huu mpango wa kisasa wa Join The Chain ni Mkakati maalum wa Chadema wa kuhakikisha kila Mtanzania mwenye Pumzi anachangia mapambano ya Haki na usawa kwa ajili ya vizazi vinavyokuja.

Hii ndio Taarifa yao waliyoisambaza kwa vyombo vya habari.

View attachment 2167622
Mashangazi kazini tena
 
Inasikitisha sana uzi wako ulionitaja mimi kama Chawa ulifutwa , niliwaomba sana wakubwa waurejeshe lakini sikufanikiwa ( nilikuwa na maana Muhimu sana )

Bali ninachotaka kukukumbusha ni kwamba Hakuna chawa Tajiri , hilo ndilo ulilosahau , na lingine ni kwamba hakuna Chawa wa Mfungwa .

Kingine ni hiki mimi sijawahi kuogopa kashfa , matusi au makwazo yoyote kutoka kwa wanaccm , ni mzaliwa na bado ni mkazi wa KYELA , kijiji cha KAJUNJUMELE , ni njiani kabisa kuelekea ITUNGI PORT , ili upate kunijua vizuri Muulize Harrison Mwakyembe , nadhani huyu ndio mwanaccm anayenifahamu kuliko yeyote , mimi nmechangia kwa 75% kumstaafisha Ubunge
MaCCM yote akili zao hazina akili, kabisa kabisa.
Kwa hiyo UVCCM UCHAWA hawautaki tena au mimi ndio huwa siwaelewagi hizi kenge za kijani.
 
Inasikitisha sana uzi wako ulionitaja mimi kama Chawa ulifutwa , niliwaomba sana wakubwa waurejeshe lakini sikufanikiwa ( nilikuwa na maana Muhimu sana )

Bali ninachotaka kukukumbusha ni kwamba Hakuna chawa Tajiri , hilo ndilo ulilosahau , na lingine ni kwamba hakuna Chawa wa Mfungwa .

Kingine ni hiki mimi sijawahi kuogopa kashfa , matusi au makwazo yoyote kutoka kwa wanaccm , ni mzaliwa na bado ni mkazi wa KYELA , kijiji cha KAJUNJUMELE , ni njiani kabisa kuelekea ITUNGI PORT , ili upate kunijua vizuri Muulize Harrison Mwakyembe , nadhani huyu ndio mwanaccm anayenifahamu kuliko yeyote , mimi nmechangia kwa 75% kumstaafisha Ubunge
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ila dada una mikwara

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom