BAWACHA yaandaa Kongamano la Join The Chain Temeke

Inasikitisha sana uzi wako ulionitaja mimi kama Chawa ulifutwa , niliwaomba sana wakubwa waurejeshe lakini sikufanikiwa ( nilikuwa na maana Muhimu sana )

Bali ninachotaka kukukumbusha ni kwamba Hakuna chawa Tajiri , hilo ndilo ulilosahau , na lingine ni kwamba hakuna Chawa wa Mfungwa .

Kingine ni hiki mimi sijawahi kuogopa kashfa , matusi au makwazo yoyote kutoka kwa wanaccm , ni mzaliwa na bado ni mkazi wa KYELA , kijiji cha KAJUNJUMELE , ni njiani kabisa kuelekea ITUNGI PORT , ili upate kunijua vizuri Muulize Harrison Mwakyembe , nadhani huyu ndio mwanaccm anayenifahamu kuliko yeyote , mimi nmechangia kwa 75% kumstaafisha Ubunge
Mkuu humu kila mtu anajiita tajiri, ila ki uhalisia wengi ni maskini. Ukweli ni kwamba, mwenyekiti amekuwa akitumia pesa na vyeo vidogo vidogo ndani ya chama ili kuwarubuni watu wampiganie. Hilo kila mtu mwenye akili timamu analifahamu. Unafikiri yale mamilioni waliokuwa wanachangishwa wabunge kila mwezi yamekwenda wapi? Unafikiri yale mamilioni aliyotoa Sabodo yasaidie harakati za chama yameyayukia wapi? Unafikiri michango mnayochangishaga kwa ajili ya chama, plus ruzuku mlizokuwa mnakusanya kila mwezi kabla 2020 zilikwenda wapi? Jibu ni kwamba mwenyekiti anatumia hayo mamilioni kujijenga yeye mwenyewe kichama ili asitokee mtu mungine yoyote wa kumpinga, na akitokea basi chawa wake wawe tayari kumshughulikia bila kujali cheo cha muhusika ndani ya chama. Lakini pia katika mamilioni hayo ametumia baadhi ya pesa kuwahonga chawa ili wawe wanamsifu hata pale ambapo hastahili kusifiwa (kama tunavyoona humu kila siku akisifiwa hata kwa mambo ya kipuuzi kabisa), wawe wanamtetea hata pale ambapo hastahili kutetewa (mfano ni yale madudu yaliofanyika 2015) kila mtu anajua kuwa mwenyekiti akishirikiana na genge lake walifanya maamuzi yalioenda kinyume na utaratibu wa chama, lkn kwa vile ana chawa wake mitandaoni anaowalipa ili wamlinde, basi chawa hao wakatumia nguvu nyingi kumuangushia jumba bovu Dr Slaa kwa kosa lililofanywa na mwenyekiti wao. Uzuri au ubaya wa haya mambo mtu huwa anauza utu wake kwa sababu ya njaa zake, lakini moyoni anakuwa anajutia sana makosa yake. Kutengeneza makosa dhidi ya mtu ambae hajafanya hayo makosa, huwa inafanya vijana waje waishi kwa majuto baadae. Kuhusu mods kufuta uzi, hilo linafahamika vyema kwamba mods wengi wapo humu kutumikia mambo mawili.. 1) kutumikia taaluma zao, 2) kutumikia chama chao. Ndio maana sisi ambao hatupo upande wa chama chao tumekuwa tuki targetiwa kila tunapoandika uzi au ku comment kinyume na vile wanavyotaka wao tuandike. Hata na hii comment inaweza kusababisha wanipige ban ila potelea mbali, tunaofanyiwa ujinga huu tutaendelea kuwa tunawaambia ukweli kila tunapopata chance ya kufanya hivi mpaka siku viongozi wa JF wataamua kufanya mabadiliko kwa baadhi ya mods wanaotumiwa na viongozi wa chama cha siasa kuharibu maana nzima ya jukwaa hili.
 
Kwenye Katiba ya Chadema Mbowe hana uwezo wa kupanga matumizi ya pesa , kwahiyo yote uliyoandika kwamba anatumia hela za chama ni Uongo , hela zinazoingia Chadema ziko chini ya Kamati Kuu , Kingine ni hiki Mbowe amejijenga kwa vitendo , Umaarufu wake hakuununua , hili wewe unalijua na wanaokutuma wanajua .

Kuhusu kufutwa nyuzi zenu , mnatakiwa mjitathmini , ukiandika kuhusu sera na mikakati ya chama chako huwezi kufutiwa uzi sasa nyinyi mnaandika kushambulia wenzenu , soma sheria za jf .

Bali tumegundua kwamba mnashindwa kuandika kuhusu chama chenu kwa vile hakiandikiki , hakina mipango , Anachosema Rais ndio inakuwa ajenda yenu , ndio maana mmeishiwa hoja
 
Tukutane_Leo_TEMEKE_%23KatibaMpyaNiSasa.jpg
 
Back
Top Bottom