Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Halafu hakuna anachofanya Temeke zaidi ya kuhudhuria Jogging kutoka kwa wazawa Temeke JoggingHii ni taarifa mbaya sana kwa uvccm na Jokate, naamini yupo kwenye wakati mgumu sana huyu mrembo wetu.
nitatoa Tangazo rasmi .Na sisi wadau wa Mtaa huu JF zamu yetu lini join the chain?
Lets wait..dadaetu Hilda atasimamia show..!Halafu hakuna anachofanya Temeke zaidi ya kuhudhuria Jogging kutoka kwa wazawa Temeke Jogging
Kabisa yaani !Lets wait..dadaetu Hilda atasimamia show..!
Inasikitisha sana uzi wako ulionitaja mimi kama Chawa ulifutwa , niliwaomba sana wakubwa waurejeshe lakini sikufanikiwa ( nilikuwa na maana Muhimu sana )
vyeo vya Rc na Dc ni miyeyusho havina impact kwa maendeleo ya wananchi zaidi ni siasa na kuhakikisha utawala wa chama kimoja zaidi ni kuongeza mzigo wa matumizi ya serikaliHalafu hakuna anachofanya Temeke zaidi ya kuhudhuria Jogging kutoka kwa wazawa Temeke Jogging
Inasikitisha sana uzi wako ulionitaja mimi kama Chawa ulifutwa , niliwaomba sana wakubwa waurejeshe lakini sikufanikiwa ( nilikuwa na maana Muhimu sana )
Bali ninachotaka kukukumbusha ni kwamba Hakuna chawa Tajiri , hilo ndilo ulilosahau , na lingine ni kwamba hakuna Chawa wa Mfungwa .
Kingine ni hiki mimi sijawahi kuogopa kashfa , matusi au makwazo yoyote kutoka kwa wanaccm , ni mzaliwa na bado ni mkazi wa KYELA , kijiji cha KAJUNJUMELE , ni njiani kabisa kuelekea ITUNGI PORT , ili upate kunijua vizuri Muulize Harrison Mwakyembe , nadhani huyu ndio mwanaccm anayenifahamu kuliko yeyote , mimi nmechangia kwa 75% kumstaafisha Ubunge
Na baada ya hapo nani ana maisha mazuri kati yenu?Inasikitisha sana uzi wako ulionitaja mimi kama Chawa ulifutwa , niliwaomba sana wakubwa waurejeshe lakini sikufanikiwa ( nilikuwa na maana Muhimu sana )
Bali ninachotaka kukukumbusha ni kwamba Hakuna chawa Tajiri , hilo ndilo ulilosahau , na lingine ni kwamba hakuna Chawa wa Mfungwa .
Kingine ni hiki mimi sijawahi kuogopa kashfa , matusi au makwazo yoyote kutoka kwa wanaccm , ni mzaliwa na bado ni mkazi wa KYELA , kijiji cha KAJUNJUMELE , ni njiani kabisa kuelekea ITUNGI PORT , ili upate kunijua vizuri Muulize Harrison Mwakyembe , nadhani huyu ndio mwanaccm anayenifahamu kuliko yeyote , mimi nmechangia kwa 75% kumstaafisha Ubunge
Mashangazi kazini tenaLabda kwa ufafanuzi kidogo , hasa kwa wageni na wale ambao wanachelewa kuelewa ni Kwamba huu mpango wa kisasa wa Join The Chain ni Mkakati maalum wa Chadema wa kuhakikisha kila Mtanzania mwenye Pumzi anachangia mapambano ya Haki na usawa kwa ajili ya vizazi vinavyokuja.
Hii ndio Taarifa yao waliyoisambaza kwa vyombo vya habari.
View attachment 2167622
Ukichimama nchale.....ukikaa nini?Hizi huitwa za uso
Wanaitwa ndaaa!!!!
MaCCM yote akili zao hazina akili, kabisa kabisa.Inasikitisha sana uzi wako ulionitaja mimi kama Chawa ulifutwa , niliwaomba sana wakubwa waurejeshe lakini sikufanikiwa ( nilikuwa na maana Muhimu sana )
Bali ninachotaka kukukumbusha ni kwamba Hakuna chawa Tajiri , hilo ndilo ulilosahau , na lingine ni kwamba hakuna Chawa wa Mfungwa .
Kingine ni hiki mimi sijawahi kuogopa kashfa , matusi au makwazo yoyote kutoka kwa wanaccm , ni mzaliwa na bado ni mkazi wa KYELA , kijiji cha KAJUNJUMELE , ni njiani kabisa kuelekea ITUNGI PORT , ili upate kunijua vizuri Muulize Harrison Mwakyembe , nadhani huyu ndio mwanaccm anayenifahamu kuliko yeyote , mimi nmechangia kwa 75% kumstaafisha Ubunge
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ila dada una mikwaraInasikitisha sana uzi wako ulionitaja mimi kama Chawa ulifutwa , niliwaomba sana wakubwa waurejeshe lakini sikufanikiwa ( nilikuwa na maana Muhimu sana )