Bawasiri & uti & nguvu za kiume janga la taifa

Mr C Kauli huru

Senior Member
Joined
Nov 26, 2023
Posts
148
Reaction score
199
Wanajukwaa nczunguke sana na pia so mwandishi sana wakina ni kutokana na kifaa nnachotumia.

Unajua katika mitandao ya kijamii hiv vitu vinazungumzwa kila kona . Tik tok , fb, Instagram na n. k

Hoja yangu kuu ni ipi haya magonjwa yana dawa?

Je sababu kuu nnin isababishayo haya?

Why enzi za wazee wetu hayakuwepo na kasi kama hii ya kizazi cha leo?

Je nin kipo nyuma ya pazia juu ya magonjwa haya?

Na mtu mwenye moja wapo kati ya haya afanyeje?

Karibu kwa hoja na majadiliano. Fikisha kile ujuacho

Wazee wakukosoa, kukurupuka, wamapovu na unafiki karbuni ila mtumie hakili katika hoja na maswali.

Mr C kauli huru
Wema usokua na hekima kazi bure
CHUGA ONE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…