Bay of Pigs vs Cold War: Marekani, Cuba na USSR, ulimwengu kiganjani mwa CIA, CRF na KGB - na aibu ya dunia kwenye ulingo wa kijasusi

Umeelezea vizuri sana. Ukipata muda shusha nondo za operation gladio, pia ina mambo mengi.
 
Asante sana kwa historia. Kwa watu wanaofatilia kuhusu Cuba na USA hasa kuanzia 1963 sisi ambao wakati huo tunapata fahamu tulijua kulikuwa na uadui kati ya USA na serikali ya Castro ndo maana wakimbizi wengi toka Cuba walimiminika Miami na walikaribishwa hadi leo wamekuwa Citizen wa USA.

Tunaomba update kuanzia Fidel Castro alipofariki mpaka sasa anavyoendesha nchi mdogo wake.
 
Kwasasa nchi ipo nje ya ukoo wa Castro
 
05 November 2022

Full Episode: Fidel Castro Says He Is 'Not A Communist'

On April 19, 1959, Fidel Castro appeared on “Meet the Press” for his first visit to the United States since the Cuban revolution, nearly three months earlier. When asked if he was a Communist, he said, “I am not a Communist. I am not agreed with Communist.” Panelist May Craig then asked if he was certain that there were no Communists in his government, to which he replied, “[T]heir influence in government is nothing.
Source : NBC News
 
Nilichopenda zaidi,,hakuna mambo ya itaendelea ni story mwanzo mwisho msomaji anajikadiria mwenyewe
 
Safi sana,kuna wakati flani huwa nakusikia DW Swahili ukitoa taarifa za nchi za maziwa makuu kama Congo DRC. Pia nina ombi moja naomba ulifanyie kazi,naomba utuandalie na historia ya Saudi Arabia,nakumbuka miaka ya nyuma uliwahi kuipost Facebook lakini kwa sasa wengine tuliacha kutumia FB
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…