Bayern Munchen bingwa wa Ulaya msimu huu

Will Jr

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2018
Posts
4,897
Reaction score
7,074
Kutokana na maarifa, uwezo na umakini wa kutosha wa hawa miamba ya Munich Bavaria, ni dhahiri kuwa wanaenda kubeba ndoo ya UEFA.

Ni timu pekee duniani yenye uwezo wa kucheza away games ikiwa comfortable kama wapo kwenye uwanja wa nyumbani, na pia ni timu pekee yenye wastani wa ku-score goli nyingi ikiwa Home/away.

Na kama Leroy Sane angetua Bayern nahisi wapinzani wasingeingiza timu uwanjani[emoji23][emoji16], kwangu namuona Coman ni weak link kwa Bayern (attacking wise)

Timu nyingi UEFA naona zinaungaunga, hazina form nzuri.

My prediction: Bayern MΓΌnchen vs Manchester City final
 
Ngoja akutane na Barca
 
Nakubaliana na wewe kabisa!
 
Huu uzi una maana kubwa sana,

huyu jamaaa kwenye kutabiri yuko vizuri, ngoja tuendelee kushuhudia mtanage.

Bahati mbaya man city na bayern zinakutana kwenye mtaoano.
 
Hawa miamba wa Ujerumani wako vizuri sana kusema kweli, huenda wakamchukua huyu mwali (UEFA).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…