Will Jr
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 4,897
- 7,074
Kutokana na maarifa, uwezo na umakini wa kutosha wa hawa miamba ya Munich Bavaria, ni dhahiri kuwa wanaenda kubeba ndoo ya UEFA.
Ni timu pekee duniani yenye uwezo wa kucheza away games ikiwa comfortable kama wapo kwenye uwanja wa nyumbani, na pia ni timu pekee yenye wastani wa ku-score goli nyingi ikiwa Home/away.
Na kama Leroy Sane angetua Bayern nahisi wapinzani wasingeingiza timu uwanjani[emoji23][emoji16], kwangu namuona Coman ni weak link kwa Bayern (attacking wise)
Timu nyingi UEFA naona zinaungaunga, hazina form nzuri.
My prediction: Bayern München vs Manchester City final