Soloma TV Online
Senior Member
- Jun 26, 2023
- 104
- 291
Ilikuwa netball?Katika mchezo wa kirafiki kati yao na FC Rottach hawakuwa na sura ya huruma hata kidogo walichokiangalia ni kuuonesha Ulimwenguni kuwa wao si mchezo mchezo. View attachment 2692453
Ndo ulichokiona[emoji23]Unatumia simu ya Samsung. [emoji16][emoji16]
Hivi simba au yanga wanaweza kupigwa bao hizo na munchen kweli?Bayern nao kwa kupenda miteremko
2023 chuma 27
2019 chuma 23
2018 chuma 20
Samsung haina navigation bar za hivyo, umechengwa na notification bar!Unatumia simu ya Samsung. ππ
Mwenye macho haambiwi tazama. πππππNdo ulichokiona[emoji23]
Basi hii itakuwa infinix πππSamsung haina navigation bar za hivyo, umechengwa na notification bar!
Labda Simba ila Yanga HapanaHivi simba au yanga wanaweza kupigwa bao hizo na munchen kweli?
Google PixelBasi hii itakuwa infinix πππ
Labda yangaHivi simba au yanga wanaweza kupigwa bao hizo na munchen kweli?
JabulaniKatika mchezo wa kirafiki kati yao na FC Rottach hawakuwa na sura ya huruma hata kidogo walichokiangalia ni kuuonesha Ulimwenguni kuwa wao si mchezo mchezo. View attachment 2692453