Bayern Munich hawana jambo dogo waua mtu goli 27

Bayern Munich hawana jambo dogo waua mtu goli 27

Soloma TV Online

Senior Member
Joined
Jun 26, 2023
Posts
104
Reaction score
291
Katika mchezo wa kirafiki kati yao na FC Rottach hawakuwa na sura ya huruma hata kidogo walichokiangalia ni kuuonesha Ulimwenguni kuwa wao si mchezo mchezo.
Screenshot_20230718-221845.jpg
 
wajerumani hawanaga hata chembe ya huruma ya kukutunzia heshima, goli zikifika 8 hadi 10 inabidi ustaarabu uwepo
 
Back
Top Bottom