barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Liver hana chansi, labda fainali ingekuwa inachezwa Anfield. Mimi nionacho ni kipigo kikubwa anapewa liver kama wataingia gainali.Japokuwa naipenda R.Madrid kwa Spain ila Shughuli itakuwa ngumu kumtoa Liverpool.
Wasipokuwa makini Kombe laweza kutinga Uingereza.
Ila Liverpool akiingia fainali (na lazima aingie) Madrid anasanda asubuhi.Mwenye nyumba hata akijisaidia haja kubwa sebuleni utamfanya nini? Utamfukuza?
REAL MADRID ndiyo Mfalme wa UEFA wa muda wote
Bahati tu kwanza wameunawa mpira kama x 6 refa anapeta tuMadrid wababe kinoma
Kwa hiyo unataka kutuaminisha kuwa Liverpool ana historian ya michuano ya UEFA kuliko Hala Madrid...?Yah ni kweli nikiangalia timu zote haziko vizuri sana ila najaribu kuona jinsi Liverpool ilivyo kihistoria na jinsi inavyozidi kuimarika kila uchao kupitia kwa washambulizi wake kina mohamed salah
Hapana, ila nae sii mdogo kwenye michuano hii lolote lawezekana endapo watakutana fainal !Kwa hiyo unataka kutuaminisha kuwa Liverpool ana historian ya michuano ya UEFA kuliko Hala Madrid...?
Unaangaliaje kihistoria hapa?? Real na Liver mwenye kubebwa na historia hapa ni nani?? Liver mna mahaba ya ajabu sana. Liver kabeba ndoo mara 5 ya champions ligi, mara ya mwisho miaka ya 80, real kabeba ndoo mara 12 mara ya mwisho mwaka jana, na ktk miaka 4 toka 2014 kachukua mara 2, toka uefa imeanza real kaingia fainali mara 16, 4 kakosa 12 kachukua. Ni historia gani hapa unaongelea??Yah ni kweli nikiangalia timu zote haziko vizuri sana ila najaribu kuona jinsi Liverpool ilivyo kihistoria na jinsi inavyozidi kuimarika kila uchao kupitia kwa washambulizi wake kina mohamed salah
Lucky haiwezi kukupa vikombe 12 vya champions ligi na 3 ndani ya misimu 4.Real Madrid: Are the Champions League finalists lucky or ruthless?
- 8 hours ago
- From the sectionFootball
Bayern Munich had 22 shots compared to Real Madrid's nine throughout the 90 minutes
Lucky or just savvy?
Real Madrid have reached a third consecutive Champions League final - but only just, after they clung on against Bayern Munich.
Zinedine Zidane's side drew 2-2 at the Bernabeu, winning 4-3 on aggregate, but would have gone out on away goals had they conceded one more to the German club.
I don't think so!Hivi ninyi wote mnampa liver au Madrid, huyo liver kashapita? Au mmesahau as Roma ni wazee wa kupindua matokeo!!!!
Sio tatu NNE !!Mwaka Jana napo mkasema Juve atampiga Real final kalambishwa 3
ulihamia wapi kwa mkopo mjomba?Niliacha siku nyingi sana kuishabikia Liverpool toka Enzi za Akina Fowler lakini kwa Sasa nashawishika kuishangilia maana sio kwa moto walionao sasa.
Hahaaa Darajani jombaaaulihamia wapi kwa mkopo mjomba?