Bayern Munich Nani Kawaroga?

Liver mara ya mwisho 2005
 

Kocha Mzee, wachezaji wazee. Vijana Wanahitajika kuimarisha timu.
 
Yah ni kweli nikiangalia timu zote haziko vizuri sana ila najaribu kuona jinsi Liverpool ilivyo kihistoria na jinsi inavyozidi kuimarika kila uchao kupitia kwa washambulizi wake kina mohamed salah
Ni kweli majogoo wana imarika na wana salah, Lakini pia timu wanayokutana nayo final nzembe kama unavyofikiri. Weka akilini hiyo.
 
Siyo kirahisi rahisi kumbuka Madrid wameshachukua kombe hili miaka miwili mfululizo na hasa ukitilia maanani kwamba kwenye laliga msimu huu haukuwa mzuri kwao. Itakuwa patashika nguo kuchanika.
Wanaombeza Madrid wasubiri muda ufike watajionea utofauti
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…