Bayern Munich Nani Kawaroga?

Bayern Munich Nani Kawaroga?

Unaangaliaje kihistoria hapa?? Real na Liver mwenye kubebwa na historia hapa ni nani?? Liver mna mahaba ya ajabu sana. Liver kabeba ndoo mara 5 ya champions ligi, mara ya mwisho miaka ya 80, real kabeba ndoo mara 12 mara ya mwisho mwaka jana, na ktk miaka 4 toka 2014 kachukua mara 2, toka uefa imeanza real kaingia fainali mara 16, 4 kakosa 12 kachukua. Ni historia gani hapa unaongelea??
Liver mara ya mwisho 2005
 
Hawa jamaa mechi zote mbili wamecheza soka safi pamoja Na kushambulia, mbele wana watu Na chances nyingi za wazi wamepata lakini wameshindwa kufunga magoli ya wazi! mwisho wa Siku wanatolewa Na Madrid ambayo kimtazamo walionekana kuzidiwa ktk game zote.
Nani Kawaroga Bayern?

Kocha Mzee, wachezaji wazee. Vijana Wanahitajika kuimarisha timu.
 
Yah ni kweli nikiangalia timu zote haziko vizuri sana ila najaribu kuona jinsi Liverpool ilivyo kihistoria na jinsi inavyozidi kuimarika kila uchao kupitia kwa washambulizi wake kina mohamed salah
Ni kweli majogoo wana imarika na wana salah, Lakini pia timu wanayokutana nayo final nzembe kama unavyofikiri. Weka akilini hiyo.
 
Siyo kirahisi rahisi kumbuka Madrid wameshachukua kombe hili miaka miwili mfululizo na hasa ukitilia maanani kwamba kwenye laliga msimu huu haukuwa mzuri kwao. Itakuwa patashika nguo kuchanika.
Wanaombeza Madrid wasubiri muda ufike watajionea utofauti
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom