Pythagoras
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 2,026
- 5,299
Japo mnashangilia kitu cha kipuuzi, ila nilichojifunza "wakenya mnauzalendo sana na nchi yenu nowdays, yaani popote muonapo jina au bendela ya kenya imeonekana mnapaza sauti, big up sana"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nadhani umeelewa nilimaanisha nini nliposema mna IQ ndogo, wewe, Colo na wakenya wengi kwa ujumla.IQ gani si huwa uko na choo katikati ya masikio yako...... Acha kujipatia misifa ya nyani
Vanessa mdee ako wapi [emoji2]Diamond ako wapi?
Rayvan ako wapi
Tundu lisu ako wapi
Rich mavoko ako wapi
naona Bill Gates angekuja Kenya ingekuwa hatukai humu....unawaponza Wakenya wenzio waonekane washambaHii ya tz sioni ebu mnitumie link
Hii ya tz sioni ebu mnitumie link
hahahahahahahahanyinyi ata Sheffield Wednesday