Kurzweil JF-Expert Member Joined May 25, 2011 Posts 6,621 Reaction score 8,411 Mar 27, 2019 #1 Mlinzi huyo wa kushoto raia wa Ufaransa amesaini mkataba wa miaka 5 wa kuitumikia klabu hiyo ya Ujerumani Hernandez atajiunga rasmi na Bayern Munich mnamo Julai 1 mwaka huu wakati ambao dirisha la usajiri litakuwa limefunguliwa Anakuwa mlinzi wa pili kujiunga na Bayern Munich baada ya Mfaransa mwenzie Benjamin Pavard kujiunga na na klabu hiyo kwa ada ya Euro milini 35
Mlinzi huyo wa kushoto raia wa Ufaransa amesaini mkataba wa miaka 5 wa kuitumikia klabu hiyo ya Ujerumani Hernandez atajiunga rasmi na Bayern Munich mnamo Julai 1 mwaka huu wakati ambao dirisha la usajiri litakuwa limefunguliwa Anakuwa mlinzi wa pili kujiunga na Bayern Munich baada ya Mfaransa mwenzie Benjamin Pavard kujiunga na na klabu hiyo kwa ada ya Euro milini 35
Youngmuller Member Joined Oct 27, 2018 Posts 45 Reaction score 22 Mar 27, 2019 #2 Ametokea club gani? Sent using Jamii Forums mobile app
ChickMagnet JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 2,676 Reaction score 3,451 Mar 27, 2019 #3 Kwaio anaenda kuwa back up kwa Alaba
makaveli10 JF-Expert Member Joined Mar 27, 2013 Posts 31,583 Reaction score 92,670 Mar 27, 2019 #4 Youngmuller said: Ametokea club gani? Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Atletico madrid. Sent using Jamii Forums mobile app
Youngmuller said: Ametokea club gani? Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Atletico madrid. Sent using Jamii Forums mobile app
3llyEmma JF-Expert Member Joined Oct 23, 2017 Posts 6,172 Reaction score 6,884 Mar 27, 2019 #5 Anafata GRIEZMAN kutoka A.MADRID...
Masamila JF-Expert Member Joined Jun 22, 2014 Posts 6,490 Reaction score 7,422 Mar 28, 2019 #6 HAhahhaha Bayern wameona waachane na ubahili Euro 115 milioni kwa beki wawili inataarifu ni jinsi gani wana usongo sana Bado hela ya usajili imebaki nyingi tu maana wanakipato kuliko Man City na hawajasajili kwa muda mrefu
HAhahhaha Bayern wameona waachane na ubahili Euro 115 milioni kwa beki wawili inataarifu ni jinsi gani wana usongo sana Bado hela ya usajili imebaki nyingi tu maana wanakipato kuliko Man City na hawajasajili kwa muda mrefu