Kurzweil
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 6,621
- 8,411
Mlinzi huyo wa kushoto raia wa Ufaransa amesaini mkataba wa miaka 5 wa kuitumikia klabu hiyo ya Ujerumani
Hernandez atajiunga rasmi na Bayern Munich mnamo Julai 1 mwaka huu wakati ambao dirisha la usajiri litakuwa limefunguliwa
Anakuwa mlinzi wa pili kujiunga na Bayern Munich baada ya Mfaransa mwenzie Benjamin Pavard kujiunga na na klabu hiyo kwa ada ya Euro milini 35