Bayport ni hawafai

Bayport ni hawafai

mmeshaambiwa kopeni kwenye taasisi zinazoeleweka..

waziri wa fedha kaongea
B.O.T. wameelekeza...

unakopa sehemu kisa shida zako za kijinga unakuja kuumia kwanini msitafute financial knowledge kwanza ndipo mparamie mikopo...

nasikitika sana mtu anachukua mkopo wa gari tena la kutembelea ni ufala kama alivyo fala mleta mada
Gari ni asset mkuu
 
Na usipowahi ,watakuwa wanaandaa uwongo wao watakukata milele

Pia ,nilitamani nikutukane shukuru dini yangu inakataza ,unaendaje kukopa Bayport
 
Habari wa JF,

Naomba msaada wa kisheria nifanyeje hili swala.

Niliomba mkopo bayport tar 25/4/2024 na makato yakapita kwa utumishi tar 2/5/2024 cha ajabu up to now hawajaingiza hela kwenye account licha ya kuwa mwez huu tayari hela wameshanikata pale napofanya nao mawasiliano wananipa kalenda mfano yaan wiki hii lazima upate hela wiki inaisha kimya halafu ni wakali balaa kama pilipili naomba msaada wa kisheria nianze vp kujinasua na hawa bayport.
Bado tu mnakopaga bayport? Aisee hamjipendi
 
Duh!.
Wana roho ngumu hakika,wanakata mkopo ambao hela hujalamba🤔.
Ila nchi hii usipokuwa janja janja hutoboi😂😂😂.
Mkopo siku zote ni mzuri ila mbaya japo maisha yetu 100% lazima ukope,na usipo kopa bado utalipa mikopo ya serikali😂😂😂
 
Habari wa JF,

Naomba msaada wa kisheria nifanyeje hili swala.

Niliomba mkopo bayport tar 25/4/2024 na makato yakapita kwa utumishi tar 2/5/2024 cha ajabu up to now hawajaingiza hela kwenye account licha ya kuwa mwez huu tayari hela wameshanikata pale napofanya nao mawasiliano wananipa kalenda mfano yaan wiki hii lazima upate hela wiki inaisha kimya halafu ni wakali balaa kama pilipili naomba msaada wa kisheria nianze vp kujinasua na hawa bayport.
Nenda peleka malalamiko B.O.T chap kwa Fasta linakua solved...

Usilalamikie huku dawa ya mtoto mkorofi msemee kwa mzazi wake
 
Hao washakua watam tafuta mwanasheria mzuri watakulipa mamilioni ya kutosha tu na hautakopa tena ila uwe na evidence zote mpe apitie mkataba ulioingia na hao watu
 
Back
Top Bottom