BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 4,869
- 13,137
Gari ni asset mkuummeshaambiwa kopeni kwenye taasisi zinazoeleweka..
waziri wa fedha kaongea
B.O.T. wameelekeza...
unakopa sehemu kisa shida zako za kijinga unakuja kuumia kwanini msitafute financial knowledge kwanza ndipo mparamie mikopo...
nasikitika sana mtu anachukua mkopo wa gari tena la kutembelea ni ufala kama alivyo fala mleta mada
Kwenye mkataba wake wanasema unakatwa kwanza marejesho kwa miezi mitatu, alafu pesa ndiyo unapewa! Bank wahuni sana!!Duh..
Wanakukata marejesho na riba kwa mkopo hewa!
Maana ake ni wezi hao. Wanakusanya pesa kutoka kwako kwanza ili wapate za kukukopesha baadaye!
Uko sahihi kabisa.ukiona tangazo lina huyu mtu kimbia
View attachment 2998900
Ni liability siyo assetGari ni asset mkuu
Asset ni nini ?Ni liability siyo asset
Bado tu mnakopaga bayport? Aisee hamjipendiHabari wa JF,
Naomba msaada wa kisheria nifanyeje hili swala.
Niliomba mkopo bayport tar 25/4/2024 na makato yakapita kwa utumishi tar 2/5/2024 cha ajabu up to now hawajaingiza hela kwenye account licha ya kuwa mwez huu tayari hela wameshanikata pale napofanya nao mawasiliano wananipa kalenda mfano yaan wiki hii lazima upate hela wiki inaisha kimya halafu ni wakali balaa kama pilipili naomba msaada wa kisheria nianze vp kujinasua na hawa bayport.
Nenda peleka malalamiko B.O.T chap kwa Fasta linakua solved...Habari wa JF,