Bazazi! Nimetatizika: Simuelewi Binti Huyu

Bazazi! Nimetatizika: Simuelewi Binti Huyu

Bazazi

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2008
Posts
2,806
Reaction score
3,485
Bazazi kwa muda (4 moons) amekuwa akimsarandia Binti fulani.

Juzi kaja na kioja! huku akilia na kuomba msaada huku akidai "HATA WEWE UMENICHUKIA"?

Kisa! ana mimba ya 2 moon na aliyemjaza anamruka na kumkataa. Anaomba nimtafutie daktari ili atoe. Bazazi kamkatalia kiutu uzima kwa kumuuliza upewe mimba na nani halafu nani ahangaike nayo?
Mtanziko. Kanionaje, kanidharau au ni nini?

:A S-confused1:
 
Hakuna dharau mbaya kama hiyo. Kakufanya wewe bonge la bazazi. Stuka!
 
yuko desperate... si unajua mfa maji hakosi kutapatapa?
 
baaaaazaaaziiiiiiiiiiiiiiiiiii, alikumbuka kuwa katika woooote waliowahi kumtokea, kabaki bazazi mmoja tu wa kumkimbilia naye ni bazazi.
 
Ngoja nipite! Issue yako ww ni kuwa mimba ya kuua ni ya mtu mwingine, ingekuwa yako ungefurahia kutoa support?
Morons!
 
Issue yako ww ni kuwa mimba ya kuua ni ya mtu mwingine, ingekuwa yako ungefurahia kutoa support?
King'asti! Naweza kubaliana na kutokubaliana nawe. Siwezi kuhangaika kwa njia yeyote na mzigo usio wangu. Ungalikuwa wangu njia zote na kuhangaika nao zingelikuwa mezani na kuanza kuipangua moja baada ya nyingine hadi muafaka upatikane.

Ndimi Bazazi!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Bazazi katika hizo jitihada za kusarandia ulikula mzigo au hapana? Kama ulikula, msaidie ili uwanja ubaki wazi uendelee kujinoma. Vinginevyo na wewe ndiyo utakuwa umekatishwa hivyo.
 
Mkuu Bazazi katika hizo jitihada za kusarandia ulikula mzigo au hapana?
Power Sikulamba, ndio maana nikaondoka kwa kasi ya Appollo II (mwendo kasi mtoroko)

Bazazi!
 
Last edited by a moderator:
kabaki bazazi mmoja tu wa kumkimbilia naye ni bazazi.
dfreym, Umetumia jina langu kama JINA au KITENZI. Sijakuelewa kabisa ulitaka kusema nini vile?

Bazazi ni Bazazi!
 
Last edited by a moderator:
Role yako ilikuwa kumcouncil ili asitoe hiyo mimba; huwezi jua labda ndipo Baraka zako zilipokuwa zifunuliwe baada ya kutenda wema wa kuokoa uhai ambao ulikuwa uondolewe!

Just trying to look on the other side tu!
 
Back
Top Bottom