Bazazi
JF-Expert Member
- Aug 18, 2008
- 2,806
- 3,485
Bazazi kwa muda (4 moons) amekuwa akimsarandia Binti fulani.
Juzi kaja na kioja! huku akilia na kuomba msaada huku akidai "HATA WEWE UMENICHUKIA"?
Kisa! ana mimba ya 2 moon na aliyemjaza anamruka na kumkataa. Anaomba nimtafutie daktari ili atoe. Bazazi kamkatalia kiutu uzima kwa kumuuliza upewe mimba na nani halafu nani ahangaike nayo?
Mtanziko. Kanionaje, kanidharau au ni nini?
:A S-confused1: