King'asti! Naweza kubaliana na kutokubaliana nawe. Siwezi kuhangaika kwa njia yeyote na mzigo usio wangu. Ungalikuwa wangu njia zote na kuhangaika nao zingelikuwa mezani na kuanza kuipangua moja baada ya nyingine hadi muafaka upatikane.Issue yako ww ni kuwa mimba ya kuua ni ya mtu mwingine, ingekuwa yako ungefurahia kutoa support?