Che Kalizozele
JF-Expert Member
- Jul 20, 2008
- 777
- 50
Waheshimiwa naomba kupatiwa jina halisi la kiswahili la bazoka au big G. Maana haya yote ni majina yaliyotolewa na makampuni yanayotengeneza bidhaa hii.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa nini hili jina la ubani sio maarufu huko bara?Ubani wa kutafuna.
Kwa nini hili jina la ubani sio maarufu huko bara?
Ubani wa kutafuna