BBA 2010: Big Brother Africa All Stars

Status
Not open for further replies.
Mwisho amefanya uamuzi mzuri kajisave yeye na kumweka Munya.So this week waliopo up for eviction ni CODE, MUNYA and UTI
 
Munya atasevu tu naona nchi za SADC ZINAMSUPPORT kwa nguvu zote..naona CODE anaweza kutoka coming sunday!! Watazamaji ndo waamuzi...
 
Mwisho amefanya uamuzi mzuri kajisave yeye na kumweka Munya.So this week waliopo up for eviction ni CODE, MUNYA and UTI

Strategically ni move nzuri kwa kuwa Munya hayuko kwenye alliance yoyote, kwa hiyo iwapo Munya ata-save ama akatoka, hakuna mtu atam-target Mwisho kwenye nominations za Jumatatu ijayo. Hapo Mwisho amecheza vizuri sana na kujiweka kwenye mazingira salama.

Iwapo ange-pick mmoja kati ya Jen, K1 au Paloma, then wiki ijayo angekuwa kwenye kitimoto cha kisasi tena. Alliance ya Paloma, Jen, Code na K1 bado ina numbers ndani ya Jumba, na kule kwenye barn bado pattern yake haieleweki vizuri, kwa hiyo kwenye barn wakiongeza vote 1 tu au 2 tayari mtu anakuwa up.
 
Keil update hapo mwanzo kwenye Housemate evicted so far...add the name of..lesb...
 
Possibility ya Munya ku-survive this coming Sunday ni kubwa maana nahisi Code ndo atapata votes chache. Na kumbuka votes hazihesabiki za mtu mmoja mmoja ila za nchi.. Mwisho amefanya vizuri kumuweka Munya maana pia anajua amesha-survive mara 5 so anaamini ni kipenzi cha watazamaji. Tutaona jumapili itakavyokuwa..

Sijui kwenye itakuwa mwisho wiki ipi kupeleka watu kwenye barn.. Maana wale watakaobahatika kurudi kwenye all stars house wataleta kasheshe!
 
Meryl Head of House (HoH) the coming week....Nomination nzuri itakuwa j3 barn mates watakuwa wanaweza kudictate nomination.
Yacob ameomba kutoka kwenye nyumba kwa kujitolea mwenyewe...amesema africa inamjua nani mshindi
 

..lesb Sheila alimiss mambo kaachia mwenyewe!!
 
[video]http://bigbrotherafrica.dstv.com/News/2836/Merylisho39;s-Midnight-Loving.html[/video]
No comment !!!
 
ingekuwa mtanzania wa kike kafanya haya pangechimbika, maelezo ya ziada kutoka kwake yangehitajika ila kwa kuwa ni dume watampongeza baada ya kulaani

mfumo dume kwa kweli kwenye jamii utaisha lini ?
 
ingekuwa mtanzania wa kike kafanya haya pangechimbika, maelezo ya ziada kutoka kwake yangehitajika ila kwa kuwa ni dume watampongeza baada ya kulaani

mfumo dume kwa kweli kwenye jamii utaisha lini ?
Upo sawa kabisa mtu wa pwani yaani hapo wa bongo wataona ujiko ila angekuwa latoya wetu kipindi kile tu ka strip watu wakaanza mineno mingi!!Ngoja tusuburie anaetoka leo...
 
Uti got irritated by Mwisho's constant interruptions while he was drawing up a shopping list.

Mwisho was bragging about how smart he was and told the Housemates he had read many books while growing up.

Uti told him to "shut up" and give his woman attention but he wouldn't listen and told Uti he lacked brains.

Uti countered by telling him to get his English right as Mwisho was heard making statements like "what does this implies?" and "Did I came on TV to shut up?".

Duu!! Kingreza ni janga la kitaifa tanzania.
 
Nilikuwa na watch hiyo clip naona wabongo tunatatizo la ulimi wa mama ...so hatuwezi kujifananisha na watoto wa malkia .ila ujumbe umeeleweka pasipo shaka..structure inaleta gogoro....
 
Mwisho revealation was so simple and easy...Munya u r finished....akazungumza kama mlevi kuwa nimejisave mwenyewe na kumweka munya
 
CODE SANGARE ametoka namba saba inabahati mbaya sana kwake...
 

Uti was the most popular Housemate with eight countries voting to save him, while Munya had six countries voting to save him and Code had one.

Therefore, because he received the fewest country votes, Code has been evicted.

Uti

The countries that voted to save Uti were: Angola, Ethiopia, Ghana, Kenya, Mozambique, Nigeria, Tanzania and Uganda.

Munya

The countries that voted to save Munya were: Botswana, Namibia, South Africa, Zambia, Zimbabwe and the Rest of Africa.

Code

The country that voted to save Code was his home country, Malawi.
..More challenges zinaanza kuja kwa voters nw..imagine baadae asubuh Mwisho na Meryl wanawekwa nyavuni..sijui Hoh atafanyaje?kuweka weak mate like jen au paloma for herself or kumweka munya ajipime na Mwisho? i don think for the second one
 
More challenges zinaanza kuja kwa voters now ... imagine baadae asubuh Mwisho na Meryl wanawekwa nyavuni ... sijui Hoh atafanyaje? Kuweka weak mate like jen au paloma for herself or kumweka munya ajipime na Mwisho? I don think for the second one

Hiyo niliiona tangu Meryl alivyoshinda u-HoH, naona ameingia kwenye jaribu. Summary ya Nominations za leo:

Meryl - 5

Mwisho - 5

Munya - 3

Kaone - 3

Jen - 3

Paloma - 3

Uti - 3

Kazi kwa Meryl leo jioni. Maamuzi yake yanaweza kumponya Sugar Dad wake ama ndo anaweza kuwa ame-risk kumpeleka kwenye Barn.
 
Dah kweli kazi kubwa ipo jioni ..Naona pamoja na Meryl kuwachagua K1 na Munya( diamond boy) atamweka paloma ambae atakuwa ni weak link kwa mwisho..sasa hvi barnmate ndo wanaendesha nomination
 
Upo sawa kabisa mtu wa pwani yaani hapo wa bongo wataona ujiko ila angekuwa latoya wetu kipindi kile tu ka strip watu wakaanza mineno mingi!!Ngoja tusuburie anaetoka leo...
:becky::becky: kweli lakini,wanasema kujisaidia ajisaidie kuku,bata matatizo
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…