Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wiki hii munya akisevu basi atafika mbali!Mwisho amefanya uamuzi mzuri kajisave yeye na kumweka Munya.So this week waliopo up for eviction ni CODE, MUNYA and UTI
Mwisho amefanya uamuzi mzuri kajisave yeye na kumweka Munya.So this week waliopo up for eviction ni CODE, MUNYA and UTI
Keil update hapo mwanzo kwenye Housemate evicted so far...add the name of..lesb...
Upo sawa kabisa mtu wa pwani yaani hapo wa bongo wataona ujiko ila angekuwa latoya wetu kipindi kile tu ka strip watu wakaanza mineno mingi!!Ngoja tusuburie anaetoka leo...ingekuwa mtanzania wa kike kafanya haya pangechimbika, maelezo ya ziada kutoka kwake yangehitajika ila kwa kuwa ni dume watampongeza baada ya kulaani
mfumo dume kwa kweli kwenye jamii utaisha lini ?
More challenges zinaanza kuja kwa voters now ... imagine baadae asubuh Mwisho na Meryl wanawekwa nyavuni ... sijui Hoh atafanyaje? Kuweka weak mate like jen au paloma for herself or kumweka munya ajipime na Mwisho? I don think for the second one
:becky::becky: kweli lakini,wanasema kujisaidia ajisaidie kuku,bata matatizoUpo sawa kabisa mtu wa pwani yaani hapo wa bongo wataona ujiko ila angekuwa latoya wetu kipindi kile tu ka strip watu wakaanza mineno mingi!!Ngoja tusuburie anaetoka leo...