Mtu wa Pwani
JF-Expert Member
- Dec 26, 2006
- 4,191
- 677
Kwann tusiungane wa EA kumtoa threat Munya? wao watagawana kura za sadc ila EA3 +NG1+shemeji NAM1+Moz+ Rest of Africa+Ghana=8...pamoja tunaweza kuondoa kisiki hki na game ikawa wazi kwa wawili UTI na MwishoIt is Jen vs Munya
Safari ya Jen kujongea kwenye barn imewadia.
Watu wengi (nikiwemo mimi) walifikiria kwamba Paloma ni weak mno na hivyo Mwisho angekuwa popular kwa nchi nchingi zaidi ya hii ya 9 VS 6.
Matokeo haya yananionyesha either Paloma hakuwa weak kiasi cha wengi tulivyodhani AU Mwisho is not so popular after all na akikwekwa kati na either Munya au Uti, safari yake kuelekea kule mjengo wa pili itakuwa imewadia
Hivi hili tukio la Lerato kugombana na Hannington kwa nini lawama zote zimemwangukia Hannington wakati huyo dada ndiye aliyechokoza?
Lerato, Hannington Fight | Big Brother All Stars | Latest News
ukiifata hio link hola, may be wameitoa
Sasa hivi website ya BBA haiko hewani. Hata hivyo naamini hiyo clip itakuwepo bado.
http://bigbrotherafrica.dstv.com/
jana niliiona hiyo clip yaani Lerato inaonekana wine ilimchukua na yeye ndo alikuwa chanzo akilazimisha swali lake alilouliza ajibiwe.
then baadae alipokuwa ndani akasikia hann akisema kuwa asitufanye sie watoto hapo ndo majibishano yakakolea na hann kuinuka kujibishana na Lera kilichoendelea hapo balaaa.Leo naona site imepata kwikwi kwi
Hanning asinge inuka pale alipokaa na kwenda kujibizana nae .afu yeye ndo aliaanza kumtia dole mwenzake ndo utamu wa kipele ukapata mkunaji...fu*** k za kutosha tu
Waswahili wanasema mwanamke anapigwa kwa upande wa kanga na sio ngumi.Mwanamke ni sehemu ya ubavu wa mwanaume binafsi tangu kuzaliwa sijawahi kumrushia ngumi mtoto wa kike..they r so soft ..hata kwass bado hannington anajilaumu kwa hilo na anasema hawezi kujisamehe mwenyewe !!Hapo sawa, ila kuna mtazamo kwamba "never hit a woman". Kwa nini hoja inakuwa kupiga mwanamke badala ya kupigana? Naona Wabeijing woote wamemshikia bango.
Waswahili wanasema mwanamke anapigwa kwa upande wa kanga na sio ngumi.Mwanamke ni sehemu ya ubavu wa mwanaume binafsi tangu kuzaliwa sijawahi kumrushia ngumi mtoto wa kike..they r so soft ..hata kwass bado hannington anajilaumu kwa hilo na anasema hawezi kujisamehe mwenyewe !!
Naona wamemwondoa baada ya mkwara huu hapa ambapo wamama wamekuja juu. Lakini yule dada naye amechonga sana wacha amuwashe KOFI. Wadada kwa vuvuzela!!!!. Mtu ana nguvu lakini oooh Nipige nipige
BBC News - Big Brother Africa condemned over housemate's punch
Je Munya atakwenda kuwa HoH wa kwenye Barn House??J2 sio mbali voters kupitia alexander forbes watafanya maamuzi sahihi...
Tumpe Nafasi huyu mdada mana ni weak link