BBA 2010: Big Brother Africa All Stars

Status
Not open for further replies.
Haya, jumatatu ndo hii.. Kumekucha BBA All Stars kwa nominations!

Its week 10 of Big Brother All Stars and below is how the housemates & barnmates have nominated this week:

1. Munya: Uti & Meryl
2. Uti: Munya & Kaone
3. Meryl: Kaone & Munya
4. Kaone: Meryl & Mwisho
5. Mwisho: Kaone & Uti

_________________________________

Barnmates

6. Tatiana: Mwisho & Uti
7. Paloma: Meryl & Mwisho
8. Code: Munya & Uti
9. Sheila: Munya & Kaone
10. Jen: Mwisho & Munya

Highest Votes

Munya: 5
Uti: 4
Kaone: 4
Mwisho: 4

Others

Meryl: 3

For more news go to Mwisho Nominates Uti | Big Brother All Stars | Latest News
------------------------------------------------------------

Hapo Munya hana choice zaidi ya kumuweka Meryl up for nomination. La sivyo aache ili wanaume wapambane (which I doubt kama atafanya) ajulikane nani mkali kati yao!
 
Hapo naona Munya atajichomoa na kumweka Meryl. Nadhani kasheshe itakuwa kati ya Kaone na Uti ingawa Meryl naye sina hakika kama atapona. Labda kama watazamaji wanafurahia michezo yake na Mwisho.
 
Mwisho kutangaza ndoa ni strategy au ni kweli jamaa kafika bei? Maana naogopa isije ikawa mambo ya Mmwisho na Ray C kule Nigeria halafu baada ya muda ndoa ikapanda kwenye mawe.
 
Mwisho kutangaza ndoa ni strategy au ni kweli jamaa kafika bei? Maana naogopa isije ikawa mambo ya Mmwisho na Ray C kule Nigeria halafu baada ya muda ndoa ikapanda kwenye mawe.

Kusema kweli ni vigumu kujua kama hawa jamaa wako makini. Hata hivyo maisha hayana kanuni. Wanaweza kutoka humo ndani na baadaye kuwa na maisha mazuri katika ndoa. Ila sina hakika kama Mwisho ana umakini wa kutotilia shaka. Pia ukisikia hadithi za Meryl amabaye alikuwa anasimulia hata story ya kutembea na mtu ambaye alikuwa hajatahiriwa, basi unaweza kuona kwamba hawa wote ni wasanii.
 
Hizi ni habari ambazo nimeziona kutoka kwa mchangiaji mmoja kuhusu Hannignton, inaweza kuwa kweli?




 
Hizi ni habari ambazo nimeziona kutoka kwa mchangiaji mmoja kuhusu Hannignton, inaweza kuwa kweli?

Dark City wamemuonea sana kijana wa watu! Nimeona tukio zima kati ya Lerato na Hannington, yaani ina maana mwanamke akimtolea lugha isiyovumilika yeyote mbele yake ni poa tu? Haiwezekani na ndo maana Hannington alimjibu vile kwa fujo, Hann kuomba msamaha hawajamsamehe (lerato's side)mpaka Hann alipoondoka!

Kuna tatizo kule South!
 
Mwenye habari atujuze kijana wetu anaendelea vipi mjengoni maana nina siku kadhaa sijaangalia maendeleo ya BBA nilisikia inazungumziwa habari ya engagement
 
Mwenye habari atujuze kijana wetu anaendelea vipi mjengoni maana nina siku kadhaa sijaangalia maendeleo ya BBA nilisikia inazungumziwa habari ya engagement

Engagement party ni kesho jumamosi 25 Sept
 
Naona sasa kijana amekuwa HoH sasa sijui kama itasaidia lets wait and see coming Sunday
 
Kijana keshachukua kifaa toka kwa mzee Nujoma...Hongera:violin:
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…