Mama Mdogo
JF-Expert Member
- Nov 21, 2007
- 2,967
- 2,147
Engagement ilihudhuriwa na baba mdogo wa Meryl akiandamana na mkewe, na kaka yake Mwisho alihudhuria na kupeleka pete ya posa yenye tanzanite!!!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Engagement ilihudhuriwa na baba mdogo wa Meryl akiandamana na mkewe, na kaka yake Mwisho alihudhuria na kupeleka pete ya posa yenye tanzanite!!!!!
Mkuu ebu tupe updates ya kinacho jiri uko sisi wengine tupo gizaniNaona Kelvin na Liz wanatumbuiza big brother
Dah Kweli wamemtenda shemeji yetu Anyways kunahitajika kumrudisha shemeji na shoga yake Sheila ili wakalete burudani zaidiMkuu ebu tupe updates ya kinacho jiri uko sisi wengine tupo gizani
Dah Kweli wamemtenda shemeji yetu Anyways kunahitajika kumrudisha shemeji na shoga yake Sheila ili wakalete burudani zaidi
Napata wasiwasi wa hawa Alexender Forbes Yaani couple yetu haikubaliki kabisa hata nchini Mwao...Hata kura moja kwa meryl imekosekana!
Kimtazamo yaonekana ushindani upo kwa Munya na Uti....Mtu wetu mwisho mashaka kweli..Na leo hakuna nominations tunaanza kupiga kura kwa ajili ya Kuwarudisha watu wawili kwenye mjengo wenyewe.
Kama hizo kura ni za kweli basi washindi ni kati ya Munya na Uti. Nadhani hawa jamaa wanachezea kura, kwani nina hakika pesa haziwezi kwenda tena Tz au Nigeria.
Kwa hiyo Munya atakuwa kwenye nafasi nzuri.
Ila huyu Sheila sijui anamatatizo gani, alikuwa akimpa stori Shemeji jinsi alivyomfanyia tatiana alipokuwa amelewa kwa kumwekea chocolate kwenye xxxxxxx. nilikuwa namuheshimu lakini nimemdelete mkenya huyu!
Hii Nomination ya leo inawork kweli
Mwisho...9
Uti....4
K1....4
Munya...3
Kwa Kuwa Mwisho ni HOH basi the rest watakuwa kwenye Kinyanganyiro cha kutolewa.Ila naona jioni watatupa picha kamili kama tunapiga kura za kuwarudisha wa kwenye Barn au inakuwaje?