BBA 2010: Big Brother Africa All Stars

Status
Not open for further replies.
BBA is rabbish, wapopo kweli wameshirikiana kwenye hili. Huenda na kufiwa na baba yake pia kumechangia ushindi Lol!
 
The road is now clean for MUNYA to take the money home :mmph:

Kaka Munya was a unique character, was still wondering how he managed to even be amon the top5....

All in all Big Brother is among those useless Reality shows....
 
Sijaelewa UTI alifiwa na baba yak wakati Yuko ndani ya BBA?
 
Sijaelewa UTI alifiwa na baba yak wakati Yuko ndani ya BBA?

Unataka kutuambia kuwa msiba wa Baba yake Uti ni kafara / tambiko la ushindi wa mwanaye?? Hawa jamaa (Nigerians/Wapopo) hata mimi siwaamini, lolote laweza tokea!!! Munya amenitouch, amesikitika sana!!! Ajabu washindani wanatolewa bila idadi ya kura kutajwa!! Uchakachuaji wa Forbes/BBA kwa kwenda mbele, au?
 
Hivi mwenzeni sijui anti-social lakini katika games mi naona big brother hasa hii ya africa ni big crap. Najiuliza hivi mimi ningepewa nafasi ya kuwepo mule ningevumilia utumbo ule kweli? JUst useless game for me. Sorry thats how i just feel
 
Sio Africa tu, big brother kwa ujumla ni crap ndio maana ya UK iko kwenye coffin.
 
The problem with Munya thought the game was all his na ndio maana mshindi alipotangazwa he went mum and he didn't believe, but kwenye kura naamini uchakachuaji umefanyika naweza kusema another reason wamempa UTIit because of the death of his father kweli hela mwanaharamu maana alipewa option ya kwenda kumzika baba yake au abaki ndani jamaa akaamua kubaki.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…