BBA 2010: Big Brother Africa All Stars

BBA 2010: Big Brother Africa All Stars

Status
Not open for further replies.
Mwisho is HoH Again

Housemates congratulated Mwisho for his winning the Head of House Task. The reigning Head of House had the highest score in a card game that required Housemates to make a chain of coloured cards. Mwisho was declared Head of House, even though Housemates were not convinced he did it legitimately.

I wonder if it counts being HoH again as the show is about to end.
 
Haya Wadau mtanange ndo huo unakwenda kwenye Kilele chake..Kura yako kwa Mshiriki umpendae ndo itamuwezesha kupata Kitita cha $200,000/-
Jana Wametoka K1 and Tatiana
Graphs_Your-Votes_art.jpg

Munya was the most popular Housemate with nine countries voting to save him, while Uti had six countries voting to save him.

Evicted
Therefore, because they received no country votes, Kaone and Tatiana have been evicted.

Munya

The countries that voted to save Munya were: Botswana, Ghana, Malawi, Mozambique, Namibia, South Africa, Tanzania, Zambia and Zimbabwe.

Uti
The countries that voted to save Uti were: Angola, Ethiopia, Kenya, Nigeria, Uganda and the Rest of Africa.
 
10-Oct_Top5_BIG.jpg

Hii ndo Top Five
The final five; Lerato, Munya, Mwisho, Sheila and Uti take a stroll through memory lane and analyse how the dreaded ‘Save and Replace' has been tackled throughout the game.

Uti said he was really pissed off when Jen put Sheila on the chopping block and said it was nothing personal.

Munya said Uti had also given a Bomboclatt reason for putting him up for Eviction. Uti insisted that he did the "Eeny meeny miny mo" but Munya wasn't convinced.
Sheila said she was particularly excited that she had gone this far in the game. "This is the first time that a Kenyan has gone this far and this is something," Sheila said.
However, Sheila then jogged the other Housemates minds querying why they had a Head of House if they would all make it to Day 91.
 
Haya Wadau mtanange ndo huo unakwenda kwenye Kilele chake..Kura yako kwa Mshiriki umpendae ndo itamuwezesha kupata Kitita cha $200,000/-
Jana Wametoka K1 and Tatiana
Graphs_Your-Votes_art.jpg

Munya was the most popular Housemate with nine countries voting to save him, while Uti had six countries voting to save him.

Evicted
Therefore, because they received no country votes, Kaone and Tatiana have been evicted.

Munya

The countries that voted to save Munya were: Botswana, Ghana, Malawi, Mozambique, Namibia, South Africa, Tanzania, Zambia and Zimbabwe.

Uti
The countries that voted to save Uti were: Angola, Ethiopia, Kenya, Nigeria, Uganda and the Rest of Africa.

Duh!!! Hadi nchi zao zimewatosa hakuna aliyewapigia kura kutoka kwenye nchi zao hizi kura zina walakini au ni kwasababu wapiga kura kutoka nchi husika wanakuwa ni wachache I mean hawapigi sana kura.
 
Hatimae mihela Ya mshindi imerudishwa kama Awali
dollars_art.jpg

Kwa upepo unavyokwenda naona the coming sunday washiriki watatoka kama ifuatavyo kutoka kwenye ile Nyumba
5.Lerato
4.Sheila
3.Mwisho
2.Uti
1.Munya
 
Inaonekana kuna baadhi ya Nchi za africa hazina muamko na BBA so wapigaji kura ni wachache sana..kama Angola ndo kabisaa kule sidhan kama wanashabikia....Naija wengi wanapiga kura kwenye rest of Africa huenda wamejisajili kama wapo nje ya Naija na kutoka na uwingi wao na muamko basi mshiriki wao anakuwa kwenye nafasi kubwa ya kushindana na Munya.Ila Jana wameshangazwa baada ya kuzidiwa kura na Munya 9 vs 6..which means this sunday bado Munya ataendelea kuwa juu.Atapata kura za Huruma ili akamtunze mtoto wake na vijisenti atakavyopata!!
 
Well na mimi ndio naona hivyo ila kijana wetu mwisho atakuwa ameweka historia ya kushiriki mara mbili na kufika fainali mara mbili
 
Let vote for Mwisho , he need this money more than anyone in the house
 
senator big up urself yani matokeo ndio yatakavyokuwa yani kama umepewa list na big vile.
 
Hatimae mihela Ya mshindi imerudishwa kama Awali
dollars_art.jpg

Kwa upepo unavyokwenda naona the coming sunday washiriki watatoka kama ifuatavyo kutoka kwenye ile Nyumba
5.Lerato
4.Sheila
3.Mwisho
2.Uti
1.Munya

Senator nataka nigeuze hii list kuanzia tatu kuja moja iwe juu chini
 
Hii list yako hapo next Sunday itakuwa hivi:

5: Lerato-South Africa
4: Sheila: Kenya, Uganda
3: Uti: Nigeria, Ethiopia, Ghana, Rest of Africa
2: Munya: Zimbabwe, Botswana, Malawi, Zambia
1: MWISHO: Tanzania, Mozambique, Angola, Namibia:wink2:

Mwisho, Munya, na Uti kila mmoja atakuwa na nchi nne (4) zinazowasapoti lakini Mwisho atashinda kwa wingi wa kura!!!!
 
..Ideally unaweza kuifanya hivyo lakin the real situation of the game list ndo kama ilivyo...Ngoja tupigie kura huenda wingi wa kura ukasaidia mshiriki wetu akasogea kwenye nafasi ya pili ..Keep on voting
 
Hii list yako hapo next Sunday itakuwa hivi:

5: Lerato-South Africa
4: Sheila: Kenya, Uganda
3: Uti: Nigeria, Ethiopia, Ghana, Rest of Africa
2: Munya: Zimbabwe, Botswana, Malawi, Zambia
1: MWISHO: Tanzania, Mozambique, Angola, Namibia:wink2:

Mwisho, Munya, na Uti kila mmoja atakuwa na nchi nne (4) zinazowasapoti lakini Mwisho atashinda kwa wingi wa kura!!!!

Mchakato wako ulivyoutoa utasema unafanya kazi na Mr Olishe Matala wa Alexender Forbes...Sitegemei Angola kumpa kura Mwisho kwakuwa kamuweka nyavuni Tati ingawa na wenyewe hawakumpigia kura mtu wao..Ushindani utakuwepo kwa MUNYAA NA uti .Wanaija wa vote sana hata ukiangalia popularity vote inavyokwenda hapo chini utapata picha kamili

Who is your favourite housemate to win the final prize?
Uti 53.5% Hapa wanaija wanaonesha jinsi wanavyo vote kwa hasira ili mtu wao achukue
Munya 25.3%
Mwisho 11.4%
Sheila 8.0%
Lerato 1.8%

Total votes: 6605
Source:Big Brother Africa 5
 
Nina wasiwasi wanaija pia wanajiregister kwenye nchi zingine na kumpiga kura UTI wao usishangae at the day ukakuta Tanzania kura zimeenda kwa UTI kwa kuwa jamaa kuna mchezo wanaufanya vile vile kwa MUNYA same thing
 
Hiyo inafanyika sana nakumbuka kipindi cha BBA 1 nilikuwa na vote kwa mwisho kwa nchi mbalimbali (kura rahisi kuipata ni ya Rest of Africa)...population inamatter pia
 
Hivi Lerato alirudi vipi mjengoni baada a barn? sikuwa nafuatilia hii kitu na nilidhani Sheila na Tatiana tu ndo walirudi. Lerato ilikuwaje??
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom