Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya Wadau mtanange ndo huo unakwenda kwenye Kilele chake..Kura yako kwa Mshiriki umpendae ndo itamuwezesha kupata Kitita cha $200,000/-
Jana Wametoka K1 and Tatiana
![]()
Munya was the most popular Housemate with nine countries voting to save him, while Uti had six countries voting to save him.
Evicted
Therefore, because they received no country votes, Kaone and Tatiana have been evicted.
Munya
The countries that voted to save Munya were: Botswana, Ghana, Malawi, Mozambique, Namibia, South Africa, Tanzania, Zambia and Zimbabwe.
Uti
The countries that voted to save Uti were: Angola, Ethiopia, Kenya, Nigeria, Uganda and the Rest of Africa.
Inaonekana kuna baadhi ya Nchi za africa hazina muamko na BBA so wapigaji kura ni wachache sana..kama Angola ndo kabisaa kule sidhan kama wanashabikia....Naija wengi wanapiga kura kwenye rest of Africa huenda wamejisajili kama wapo nje ya Naija na kutoka na uwingi wao na muamko basi mshiriki wao anakuwa kwenye nafasi kubwa ya kushindana na Munya.Ila Jana wameshangazwa baada ya kuzidiwa kura na Munya 9 vs 6..which means this sunday bado Munya ataendelea kuwa juu.Atapata kura za Huruma ili akamtunze mtoto wake na vijisenti atakavyopata!!Duh!!! Hadi nchi zao zimewatosa hakuna aliyewapigia kura kutoka kwenye nchi zao hizi kura zina walakini au ni kwasababu wapiga kura kutoka nchi husika wanakuwa ni wachache I mean hawapigi sana kura.
Inaonekana kuna baadhi ya Nchi za africa hazina muamko na BBA so wapigaji kura ni wachache sana..kama Angola ndo kabisaa kule sidhan kama wanashabikia....Naija wengi wanapiga kura kwenye rest of Africa huenda wamejisajili kama wapo nje ya Naija na kutoka na uwingi wao na muamko basi mshiriki wao anakuwa kwenye nafasi kubwa ya kushindana na Munya.Ila Jana wameshangazwa baada ya kuzidiwa kura na Munya 9 vs 6..which means this sunday bado Munya ataendelea kuwa juu.Atapata kura za Huruma ili akamtunze mtoto wake na vijisenti atakavyopata!!
Hatimae mihela Ya mshindi imerudishwa kama Awali
![]()
Kwa upepo unavyokwenda naona the coming sunday washiriki watatoka kama ifuatavyo kutoka kwenye ile Nyumba
5.Lerato
4.Sheila
3.Mwisho
2.Uti
1.Munya
Hatimae mihela Ya mshindi imerudishwa kama Awali
![]()
Kwa upepo unavyokwenda naona the coming sunday washiriki watatoka kama ifuatavyo kutoka kwenye ile Nyumba
5.Lerato
4.Sheila
3.Mwisho
2.Uti
1.Munya
..Ideally unaweza kuifanya hivyo lakin the real situation of the game list ndo kama ilivyo...Ngoja tupigie kura huenda wingi wa kura ukasaidia mshiriki wetu akasogea kwenye nafasi ya pili ..Keep on votingSenator nataka nigeuze hii list kuanzia tatu kuja moja iwe juu chini
Hii list yako hapo next Sunday itakuwa hivi:
5: Lerato-South Africa
4: Sheila: Kenya, Uganda
3: Uti: Nigeria, Ethiopia, Ghana, Rest of Africa
2: Munya: Zimbabwe, Botswana, Malawi, Zambia
1: MWISHO: Tanzania, Mozambique, Angola, Namibia:wink2:
Mwisho, Munya, na Uti kila mmoja atakuwa na nchi nne (4) zinazowasapoti lakini Mwisho atashinda kwa wingi wa kura!!!!
Mchakato wako ulivyoutoa utasema unafanya kazi na Mr Olishe Matala wa Alexender Forbes...Sitegemei Angola kumpa kura Mwisho kwakuwa kamuweka nyavuni Tati ingawa na wenyewe hawakumpigia kura mtu wao..Ushindani utakuwepo kwa MUNYAA NA uti .Wanaija wa vote sana hata ukiangalia popularity vote inavyokwenda hapo chini utapata picha kamili
Who is your favourite housemate to win the final prize?
Uti 53.5% Hapa wanaija wanaonesha jinsi wanavyo vote kwa hasira ili mtu wao achukue
Munya 25.3%
Mwisho 11.4%
Sheila 8.0%
Lerato 1.8%
Total votes: 6605
Source:Big Brother Africa 5
Hiyo inafanyika sana nakumbuka kipindi cha BBA 1 nilikuwa na vote kwa mwisho kwa nchi mbalimbali (kura rahisi kuipata ni ya Rest of Africa)...population inamatter piaNina wasiwasi wanaija pia wanajiregister kwenye nchi zingine na kumpiga kura UTI wao usishangae at the day ukakuta Tanzania kura zimeenda kwa UTI kwa kuwa jamaa kuna mchezo wanaufanya vile vile kwa MUNYA same thing