Pape
JF-Expert Member
- Dec 11, 2008
- 5,487
- 83
10% has been deducted!NI usd 200,000 mkuu.Namuombea mungu huyu kijana ashinde.ameshapigika vya kutosha na sasa ni mtu mzima sidhani kama atarudia uli ujinga wa wakati ule na akina RC.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
10% has been deducted!NI usd 200,000 mkuu.Namuombea mungu huyu kijana ashinde.ameshapigika vya kutosha na sasa ni mtu mzima sidhani kama atarudia uli ujinga wa wakati ule na akina RC.
Lerato is OUT now...
Mkuu naona matarajio yako hayajawa, Tatiana ndo anasota barn houseTunahesabu masaa machache tu kusubiria kumwona MUNYA akienda kwenye Barn house..naona atashangazwa sana kusikia Sheila amemreplace yeye wakat Munya alikuwa anaomba washabiki wamevote Tati abaki kumbe wapo kwenye kikaango kimoja..Akibaki Tati next week anachomoka mwingine kwenye kundi la kina Meryl
Mkuu naona matarajio yako hayajawa, Tatiana ndo anasota barn house
Na Sheila itakuwaje kama Munya akibaki.. Very interesting..
Ila leo katika Nomination hawajafanyiana mtimanyongoSheila atakuwa anajisikia vibaya sana....it will be interesting kuona watakavyotizamana na Munya for the next 7 days!