Preta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 24,320
- 18,852
Mweeh...
wenzetu mnabweda.
Sie huku ni FUTUHI na sisi,
sisi na FUTUHI.
Haya mwaya.
yaani wee acha tu....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mweeh...
wenzetu mnabweda.
Sie huku ni FUTUHI na sisi,
sisi na FUTUHI.
Haya mwaya.
Seems he's nervous lol... Very sad indeed, unexpected!
Bye Kaone... Very sad indeed
Botswana...mkuu huyo Kaone ni wa nchi gani?
Another Housemate to leave the house... today two housemates are to be evicted, who's next? Is it Munya? Is it Tatiana?
She's OUT!mwee..wifi nae ndani ya nyumba.....nani kamrithi bro?
WOW! The rules changed, both Kaone and Tatiana are back to the house!
Ha ha ha ha The Boss unanionea mkuu gonga hapo kwenye jina langu alafu fuatilia thread zangu utaona nipo mwaka mzima ndani ya nyumba, ila Signature na avatar hubadirika na BBA ha ha ha. Mpambano ni mkali tulidhan utaboa lakini naona full muzukisMbogela mpaka big brother ndo uaonekana?
Jamani sisi wavuvi huku vijijini huku hebu tujuzeni, huyo BBA anaonekana mitaa ipi?.Hannington, Uti and Sammi are up for eviction... Tatiana replaced herself with Hannington