Hivi huu mchezo unafundisha nini?
Unatufundisha kuwa Genye hazina break wala aibu
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi huu mchezo unafundisha nini?
hivi mwezi huu si ni mtukufuku! ata sisi wakristo tunaueshimu pia.
Unatufundisha kuwa Genye hazina break wala aibu
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Wewe itakuwa chadema.
....pilipili yaliwa shambani kinachokuwasha nini?.....wivu una wivuuuuu...umeomba ukanyimwa?
K ni yake, hayatuhusu :A S-fire1:
Wewe itakuwa chadema.
Hivi huu mchezo unafundisha nini?
BBA ndio nini ?
unawashw??
Vipi ndo umemaliza kuharisha nn..? Unaropoka sana...
mwakilishi wa tanzania,dada yetu feza kessy muda huu katika jumba la bba anaonekana akishikwashikwa, analiwa mate na anagugumia kuwa raha zinamzidia, muda wote camera za jumba hilo zikiwamulika wakiendelea na "maraha" hayo.
Shemeji yetu oneil nae bila ajizi anaitumia nafasi hiyo sawasawa, may be atamwachia mimba dada yetu ili tupate damu kutoka botswana. Yawezekana ikawa ni mbinu ya mashindano ili wasitolewe mapema, check it out!
Utamu unaendelea...
BBA ndio nini ?
kwa Mkristo kila siku inatakiwa iwe tukufu,hakuan siku iliyohalalishwa kutenda dhambi
Wanaume tuna ubinafsi sana....mshiriki wa kiume (kidume) toka tanzania kamgegeda binti wa watu hatukusema, dada yetu akigegedwa tunasema anagawa uroda....
"Ukitaka kula lazima nawe uliwe" (Dr. J.M Kikwete)
kwani kwa waislam kuna siku iliyohalalishwa kutenda dhambi!!!!!!!!
niliyemjibu alisema ni mwezi mtukufu hata Wakristo tunaunga mkono,so does allowed to sin during other months?..am Christian I do know about other religions,I speak what I know and believe...got me?