BBA graduate looking for a job

BBA graduate looking for a job

SUPERUSER

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2011
Posts
960
Reaction score
307
wadau jf nina degree ya business administration(accounting) gpa 3.9 natafuta kazi ili kujikimu pamoja na kupata experience,kama kuna mtu yoyote mwenye information au mawazo naomba msaada wenu
 
Mkuu haya ndo maisha yetu tulio wengi so pambana kila nyanja mana siku hizi kila mtu anajitahidi kusikilizia anakotokea na umeshakua msala kwa wasomi wengi. Kikubwa kuwa na marefa wa maana kutoka utatoka japo utakua umechoka sana.
 
Anza na hizi ajira za finca wilayani then upate uzoefu ndipo uombe sehemu nyingine. zipo mikoani tuwasiliane
 
Siku hizi unapotafuta kazi una invest kwa kufanya kazi ya kujitolea..
ili walau uendelee kupata experience while at the same time networking...
Thou hata hixo za kujitolea na interships imekua shida, ni kujituma sana
kutembelea maofisi mbali mbali related on your area of study...
It will take time but eventually utapata kazi.... Best of Luck.
 
Nashukuru kwa ushauri wakuu.......@Tabularassa One namba yang ni 0717754355....thanx
 
nenda kwenye audit firm yoyote ufanye kazi hata kwa ujira mdogo lakini utapikwa vizuri kikazi.wakati unafanya kazi jiandikishe for CPA exams,itakusaidia kuwa up todate hata kama hutafaulu lakini pia soko linataka sana CPAs mkuu!
 
Back
Top Bottom