johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Aliyekuwa mke wa msanii maarufu nchini Diamond aitwaye Zari Hassan amesema yeye na mme wake Diamond wameachana rasmi na kwamba hivi sasa kila mmoja anaendesha maisha kivyake. Source BBC!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anatapatapa tu,kwani wakati wanatongozana walitumia media?,kwenye kuachana kelele nyiiingi,atulie tu busara itumike zaidi ya mihemkoAliyekuwa mke wa msanii maarufu nchini Diamond aitwaye Zari Hassan amesema yeye na mme wake Diamond wameachana rasmi na kwamba hivi sasa kila mmoja anaendesha maisha kivyake. Source BBC!
Kabla hawajaachana!Kwani walioana lini ?
Mapenzi matamuMapenzi mabayaa
Rayvanny alikuwa BBC, Zari naye BBC hapo hapo kuna tukio la uzinduzi wa album ya Diamond. Bado naamini hizi ni kiki tu na sidhani kama kuna kuachana.
Asingeongelea tena.mwenzake kimya unaonekana kama una tapatapa tu.ile ya ua jeusi ingetosha
Ndoa yao ilifungwa wapi? Lini?Kabla hawajaachana!