Sister usiingizwe mkenge na wafanya biashara hawa,subiri kwanza picha lifike walau kati,Diamond hajaongea chochote mpaka sasa
Mahojiano yalikua kama hivi
BBC.Toka Diamond aonekane ameshikana na ex wake mlishawasiliana?
Zarina:Hapana tuna zaidi ya wiki tatu hatujawasiliana
BBC:Je Diamond amefanya juhudi zozote za usuluhishi au kutuma watu kwako wamuombee msamaha?
Zarina;No comment,No comment!
Hapo tu utajua kwamba Zarina Hassan Tlale hamanishi anachosema au tayari kuna jitihada za usuluhishi zinaendelea chini kwa chini na litatoka tu Bungalow la pili litakua la Prince Nillan huku tukiachwa midomo wazi.