BBC Dira ya Dunia: Zari athibitisha kuachana rasmi na Diamond

Aliyekuwa mke wa msanii maarufu nchini Diamond aitwaye Zari Hassan amesema yeye na mme wake Diamond wameachana rasmi na kwamba hivi sasa kila mmoja anaendesha maisha kivyake. Source BBC!
Anatapatapa tu,kwani wakati wanatongozana walitumia media?,kwenye kuachana kelele nyiiingi,atulie tu busara itumike zaidi ya mihemko
 
Rayvanny alikuwa BBC, Zari naye BBC hapo hapo kuna tukio la uzinduzi wa album ya Diamond. Bado naamini hizi ni kiki tu na sidhani kama kuna kuachana.
 
Kwani BBC ni mungu kwamba hawawezi kula mchongo lengo kutuhadaaa wananchi? Nijuavyo Mimi hiyo ni kiki kama kawaida yake domo bila kiki album yake itabuma so he needs attention from the fans
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…