BBC Dira ya Dunia: Zari athibitisha kuachana rasmi na Diamond

Kuna watu wanataman kufyatua hata kamoja tu na hawapati. Wacha ajifyatulie faraja yake.

Kwakweli hata anayemuona kachemka atajijua pia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kashakua zilipendwa azae tu!!
 
Reactions: BAK
Ahahaaa halafu nashindwa kuelewaga hiyo statement ya kuzaa ndio kuolewa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yani utafikiri wewe ndio zari unajua unachowaza kichwani mwako [emoji1][emoji1]
Alivyokua anajiita mke je?

Ndoa kaitaka lakini wapiiiiii!!
 
Kwani ni lini Diamond aliwahi kuwa na mahusiano na Zari..?
Zari alikua mali ya Kusaga,Diamond alikua anatumiwa tu...
Watoto wote wale(Nillan na Tiffah) sio wa Diamond ni wa Kusaga..!




Ahahaaaah..!!!
Wabongo hatari sana..!
Bangi mbaya sana
 
[emoji3] [emoji3] [emoji2] [emoji2] ila kama kuna watu walidhani Diamond atamuoa Zarina[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji3] they need prayers kwa kweli!

Hata ningekua Mimi sithubutu mwanangu aoe mwanamke ambae nude yake ipo mtandaoni!
Hebu iweke hapa tuione
 
Yuko feki feki sana huyu dada, ebu arudi Uganda atunze watoto...
 
Ni watz Hakuna shida
What’s the respect among them? Wote wanawake tu. Haijalishi kazaliwa Tz au kazaliwa Sudan au Uganda, Diamond ni player anaye act victim most of the time. Hao wanawake pia wapumbavu.
 
Reactions: BAK
Kweli kabisa watu wanatumia $$$ in million wapate bahati ya mtoto mmoja tu lakini hawapati pamoia na kuhangaika huku na kule. Mwenyezi Mungu kamjalia kizazi na uwezo wa kuwapa malezi bora basi ni utashi wake hajatimiza hata 40 hivyo akitaka wawili wengi au hata watoto umri wake afya na uwezo wake vyote vinamruhusu.

Kuna watu wanataman kufyatua hata kamoja tu na hawapati. Wacha ajifyatulie faraja yake.

Kwakweli hata anayemuona kachemka atajijua pia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Duuh masikini dada wa watu. Inasikitisha kuona jinsi wadada wanavyofurahia maumivu ya mwenzao na kumsifia playboy mmmhh bado tuna safari ndefu. Kijana anachezea wadada atakavyo hadi inatia kinyaa
 
Vizuri kaongelea kafunga kitabu na tumejua dai ni bomu bomu bomu.. kakimbiwa na fans wemgi wa damu damu.. wamebaki wengi wale ambao hawakumpenda tangu..
Sister usiingizwe mkenge na wafanya biashara hawa,subiri kwanza picha lifike walau kati,Diamond hajaongea chochote mpaka sasa
Mahojiano yalikua kama hivi
BBC.Toka Diamond aonekane ameshikana na ex wake mlishawasiliana?
Zarina:Hapana tuna zaidi ya wiki tatu hatujawasiliana
BBC:Je Diamond amefanya juhudi zozote za usuluhishi au kutuma watu kwako wamuombee msamaha?
Zarina;No comment,No comment!
Hapo tu utajua kwamba Zarina Hassan Tlale hamanishi anachosema au tayari kuna jitihada za usuluhishi zinaendelea chini kwa chini na litatoka tu Bungalow la pili litakua la Prince Nillan huku tukiachwa midomo wazi.
 
What’s the respect among them? Wote wanawake tu. Haijalishi kazaliwa Tz au kazaliwa Sudan au Uganda, Diamond ni player anaye act victim most of the time. Hao wanawake pia wapumbavu.
Bora hata wewe umesema kweli, Ndomo ni mpenda ngono hatari sana, anawaka tamaa kaliii na wadada wa kibongo wasivyo na akili anawapanda tu kama farasi halafu anaigiza yeye ndio kaumizwa.

- Tena bora Zari ni mwanamke lakini at least alijua ni nini anataka, kakipata amekaa kando.

"Kwanza alivyompiga FIX Ndomo hawana nyumba, kanunua nyumba anaishi, na huwezi jua NDOMO Kachunika kiasi gani nyuma ya pazia"

Siyo kama Malaya wetu wa kibongo wanaoishia Kulamba DOMO KUBWA, Kupigwa p**umb, kuzalilishwa kwenye mitandao kila siku na kuhongwa vi STARLET na MURANO !
 

Kwa hiyo Zari ajishushe na kubomoa brand yake kisa biz ya huyo mikuu mingi.. 😱
Mwanamke yakimfika shingoni umfika haswaaaaa..

Mfano mmoja..

 
Kwa hiyo Zari ajishushe na kubomoa brand yake kisa biz ya huyo mikuu mingi.. 😱
Mwanamke yakimfika shingoni umfika haswaaaaa..

Mfano mmoja..

Hakuna haja ya kuendelea na Uhusiano kwenye matukio kama haya. Zari anajiweza asonge mbele siyo kushare kwa jinsi hii.
Viva Zari go ahead Binti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…