BBC, DW,Aljazira, Radio Japan n.k hawa wanapataje faida wakati hawana matangazo?

MTOTO KITAA

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2013
Posts
245
Reaction score
115
wakuu naomben mnisadie kuhusu haya maswal juu ya hiz redio za ulaya, lengo lao nin? wanapataje faida? kwa nin zipo nying afrika mashariki? nan yupo nyuma wa hizi taasis? je habar wanazotoa ni balance?. angalizo: kama huna cha kuchangia piga kimya ili ulinde heshima yako. kuna msemo unaosema" ukitaka kujua jitu ------- subili aongee".wenye mawazo mazur karibun
 
zinaendeshwa na pesa za walipa kodi. kuna kitu kinaitwa TV LICENCE ambayo kila mtu mwenye Tv yake ndani analipa kwa mwaka. Hii inahusu pia wanaoangalia ONLINE TV. ANGALI MFANO HAPO CHINI uNITED kINGDOM

[h=2]TV Licence types and costs[/h]It costs £145.50 for a colour and £49.00 for a black and white TV Licence. In some cases, you may be entitled to a reduced fee TV Licence (see table below).
Pay for your TV Licence

[TABLE="class: faq, width: 578"]
[TR]
[TH="colspan: 2"][h=3]Reduced TV Licence fees[/h][/TH]
[/TR]
[TR="class: odd"]
[TD="class: first, bgcolor: #EFF5F8"]Aged 74 and over[/TD]
[TD="bgcolor: #EFF5F8"]You're entitled to a free over 75 TV Licence when you turn 75. If you‘re 74, you can apply for a short-term licence to cover you up to your 75th birthday.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: first"]Care home residents[/TD]
[TD]Residents may qualify for a discounted TV Licence fee of £7.50. Residents, staff and residents' families all need a separate licence for their own living area.[/TD]
[/TR]
[TR="class: odd"]
[TD="class: first, bgcolor: #EFF5F8"]Registered as blind[/TD]
[TD="bgcolor: #EFF5F8"]You're entitled to a 50% reduction in your TV Licence fee, if you're certified as either blind or severely sight impaired.[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: faq, width: 578"]
[TR]
[TH="colspan: 2"][h=3]Cost of a TV Licence to cover multiple units[/h][/TH]
[/TR]
[TR="class: odd"]
[TD="bgcolor: #EFF5F8, colspan: 2"]Some businesses can apply for a TV Licence to cover a number of accommodation or mobile units (for hotels, hostels, mobile units and campsites), or entertainment units (for hospitality areas). For more information, visit the pages below:
Hotels, hostels, mobile units and campsites
Hospitality areas
The licence fee will be based on the number of units offered where a TV receiver is installed or used.
[/TD]
[/TR]
[TR]
[/TR]
[TR]
[TD="class: first"]To cover up to 15 units[/TD]
[TD]You only need to pay one fee of £145.50.[/TD]
[/TR]
[TR="class: odd"]
[TD="class: first, bgcolor: #EFF5F8"]To cover more than 15 units[/TD]
[TD="bgcolor: #EFF5F8"]You pay one fee for the first 15 units and an additional fee of £145.50 for every extra 5 units or fewer.[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Ninachojua mimi, redio na TV za kimataifa BBC, DW, VOA, NHK etc, huwa zinaendeshwa na bajeti za serikali zao. Lengo lao siyo biashara bali kueneza propaganda zao, japo kwa siri kubwa. Vilevile huwa wanafuatilia misaada wanayoitoa kwa nchi masikini kupitia vyombo hivyo. Mfano ni kipindi cha haba na haba cha BBC Swahili.
 
Wametuibia sana kupitia mikataba feki.so hawana cha kupoteza pia huwa wanaongea mabaya yetu tu kama vita,njaa,mafuriko,magonjwa etc ili waonekane wanatujali na kutusaidia ktk hayo kumbe wazushi tu
 
wakuu naomben mnisadie kuhusu haya maswal juu ya hiz redio za ulaya, lengo lao nin? wanapataje faida? kwa nin zipo nying afrika mashariki? nan yupo nyuma wa hizi taasis? je habar wanazotoa ni balance?. angalizo: kama huna cha kuchangia piga kimya ili ulinde heshima yako. kuna msemo unaosema" ukitaka kujua jitu ------- subili aongee".wenye mawazo mazur karibun

swali zuri kwa al qaeda
 
Mengi ya haya mashirika yanaendeshwa kwa ruzuku. Ila matangazo pia yapo na ni mangazo machache ya makampuni makubwa sana ...Aljazeera Qatar Airways,Makampun ya OIL n' GAS (ABM QATER) wanafadhili vipindi , DW kuna vipindi vinafadiliwa na BMW,VW . BBC -Rolex ,BG. CNN -MOBIL,Emiretes ...so wanapata fedha nyingi sana kwenye haya matangazo machache though kwa BBC ni more than 30 inatokana na ruzuku.
 
wakuu naomben mnisadie kuhusu haya maswal juu ya hiz redio za ulaya, lengo lao nin? Wanapataje faida? Kwa nin zipo nying afrika mashariki? Nan yupo nyuma wa hizi taasis? Je habar wanazotoa ni balance?. Angalizo: Kama huna cha kuchangia piga kimya ili ulinde heshima yako. Kuna msemo unaosema" ukitaka kujua jitu ------- subili aongee".wenye mawazo mazur karibun

matangazo ya biashara wanayo!
 
pia tofauti na TBC jamaa wana treasure kubwa sana ya picture,video za kihistoria na mahojiano na watu au matukio muhimu.Wanauzia TV mpya,waandishi,watafiti etc..Pia huwa wanaanda documentaries nyingi sana na kuziuza au kuzirusha kk channele za hela.

Pia wanauza inteligentia.. wanapoenda chukua habari basi pia huchukua na issur nyingine, pia mahojiano yao husaidia sana nchi zao kuwasiliana na maadui kwa jinsi watakavyoulizwa maswali. wana mengi sana hawa jamaa hadi kuuza programmes kwa bishara mbalimbali..
 
jamani naombeni kufahamu location ya redio japan kiswahili kwa hapa dar es salaam.. ofisi zao ziko wapi?
 
zinaendeshwa na pesa za walipa kodi. kuna kitu kinaitwa TV LICENCE ambayo kila mtu mwenye Tv yake ndani analipa kwa mwaka. Hii inahusu pia wanaoangalia ONLINE TV. ANGALI MFANO HAPO CHINI uNITED kINGDOM

[h=2]TV Licence types and costs[/h]It costs £145.50 for a colour and £49.00 for a black and white TV Licence. In some cases, you may be entitled to a reduced fee TV Licence (see table below).
Pay for your TV Licence

[TABLE="class: faq, width: 578"]
[TR]
[TH="colspan: 2"][h=3]Reduced TV Licence fees[/h][/TH]
[/TR]
[TR="class: odd"]
[TD="class: first, bgcolor: #EFF5F8"]Aged 74 and over[/TD]
[TD="bgcolor: #EFF5F8"]You’re entitled to a free over 75 TV Licence when you turn 75. If you‘re 74, you can apply for a short-term licence to cover you up to your 75th birthday.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: first"]Care home residents[/TD]
[TD]Residents may qualify for a discounted TV Licence fee of £7.50. Residents, staff and residents’ families all need a separate licence for their own living area.[/TD]
[/TR]
[TR="class: odd"]
[TD="class: first, bgcolor: #EFF5F8"]Registered as blind[/TD]
[TD="bgcolor: #EFF5F8"]You’re entitled to a 50% reduction in your TV Licence fee, if you’re certified as either blind or severely sight impaired.[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: faq, width: 578"]
[TR]
[TH="colspan: 2"][h=3]Cost of a TV Licence to cover multiple units[/h][/TH]
[/TR]
[TR="class: odd"]
[TD="bgcolor: #EFF5F8, colspan: 2"]Some businesses can apply for a TV Licence to cover a number of accommodation or mobile units (for hotels, hostels, mobile units and campsites), or entertainment units (for hospitality areas). For more information, visit the pages below:
Hotels, hostels, mobile units and campsites
Hospitality areas
The licence fee will be based on the number of units offered where a TV receiver is installed or used.
[/TD]
[/TR]
[TR]
[/TR]
[TR]
[TD="class: first"]To cover up to 15 units[/TD]
[TD]You only need to pay one fee of £145.50.[/TD]
[/TR]
[TR="class: odd"]
[TD="class: first, bgcolor: #EFF5F8"]To cover more than 15 units[/TD]
[TD="bgcolor: #EFF5F8"]You pay one fee for the first 15 units and an additional fee of £145.50 for every extra 5 units or fewer.[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
sipati picha bunge likipitisha kila mwenye tv aikatie leseni kwahapa bongo.
 
Mengi ya haya mashirika yanaendeshwa kwa ruzuku. Ila matangazo pia yapo na ni mangazo machache ya makampuni makubwa sana ...Aljazeera Carter Airwayz,Makampun ya OIL n' GAS (ABM QATER) wanafadhili vipindi , DW kuna vipindi vinafadiliwa na BMW,VW . BBC -Rolex ,BG. CNN -MOBIL,Emiretes ...so wanapata fedha nyingi sana kwenye haya matangazo machache though kwa BBC ni more than 30 inatokana na ruzuku.

Qatar Airways..
 
zinaendeshwa na pesa za walipa kodi. kuna kitu kinaitwa TV LICENCE ambayo kila mtu mwenye Tv yake ndani analipa kwa mwaka. Hii inahusu pia wanaoangalia ONLINE TV. ANGALI MFANO HAPO CHINI uNITED kINGDOM

[h=2]TV Licence types and costs[/h]It costs £145.50 for a colour and £49.00 for a black and white TV Licence. In some cases, you may be entitled to a reduced fee TV Licence (see table below).
Pay for your TV Licence

[TABLE="class: faq, width: 578"]
[TR]
[TH="colspan: 2"][h=3]Reduced TV Licence fees[/h][/TH]
[/TR]
[TR="class: odd"]
[TD="class: first, bgcolor: #EFF5F8"]Aged 74 and over[/TD]
[TD="bgcolor: #EFF5F8"]You’re entitled to a free over 75 TV Licence when you turn 75. If you‘re 74, you can apply for a short-term licence to cover you up to your 75th birthday.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: first"]Care home residents[/TD]
[TD]Residents may qualify for a discounted TV Licence fee of £7.50. Residents, staff and residents’ families all need a separate licence for their own living area.[/TD]
[/TR]
[TR="class: odd"]
[TD="class: first, bgcolor: #EFF5F8"]Registered as blind[/TD]
[TD="bgcolor: #EFF5F8"]You’re entitled to a 50% reduction in your TV Licence fee, if you’re certified as either blind or severely sight impaired.[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: faq, width: 578"]
[TR]
[TH="colspan: 2"][h=3]Cost of a TV Licence to cover multiple units[/h][/TH]
[/TR]
[TR="class: odd"]
[TD="bgcolor: #EFF5F8, colspan: 2"]Some businesses can apply for a TV Licence to cover a number of accommodation or mobile units (for hotels, hostels, mobile units and campsites), or entertainment units (for hospitality areas). For more information, visit the pages below:
Hotels, hostels, mobile units and campsites
Hospitality areas
The licence fee will be based on the number of units offered where a TV receiver is installed or used.
[/TD]
[/TR]
[TR]
[/TR]
[TR]
[TD="class: first"]To cover up to 15 units[/TD]
[TD]You only need to pay one fee of £145.50.[/TD]
[/TR]
[TR="class: odd"]
[TD="class: first, bgcolor: #EFF5F8"]To cover more than 15 units[/TD]
[TD="bgcolor: #EFF5F8"]You pay one fee for the first 15 units and an additional fee of £145.50 for every extra 5 units or fewer.[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Nimekuelewa vizuri
 
Back
Top Bottom